Nafsi ya mtu ni jumba,jba la giza totoro,
Tena lenye vingi vyumba,usiyojua zoke kasoro,
Waweza kuhisi cha simba, kumbe chumba cha kongoro,
Nafsi inabeba mengi, ni siri ya mwenye nayo.
Machoni naona pendo,pendo lile nitakalo,
Wala silioni pindo,pindo linichukizalo,
Na sivihisi vishindo,wala baya...