Recent content by Wakashina

  1. Wakashina

    Natafuta kiwanja maeneo ya Kitunda Dar es Salaam

    Nashukuru kwa taarifa mkuu, kama unachaziada usisite kunijuza, niko tayari kwa huko mbele ya kitunda
  2. Wakashina

    Natafuta kiwanja maeneo ya Kitunda Dar es Salaam

    kwa hiyo mkuu siwezi pia pata mbele kidogo ya hapo kwa hiyo bei
  3. Wakashina

    Natafuta kiwanja maeneo ya Kitunda Dar es Salaam

    huko mbali mkuu, nahitaji huko kwa kuwa ni karibu na vibanda vyangu vya biashara, pia bajeti yangu c nyingi kama ulivyoona hapo juu
  4. Wakashina

    Natafuta kiwanja maeneo ya Kitunda Dar es Salaam

    Tafadhali wana jf naomba msaada wenu
  5. Wakashina

    Natafuta kiwanja maeneo ya Kitunda Dar es Salaam

    Mkuu nimekutumia PM lakini hujajibu bado
  6. Wakashina

    Natafuta kiwanja maeneo ya Kitunda Dar es Salaam

    kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu kitunda au karibu na maeneo hayo bajrti yangu ni 3M, Mwenye nacho au mwenye kumfahamu mwenye nacho tafadhari naomba ani-pm no yake
  7. Wakashina

    Tabia za wandamba kutoka Morogoro

    kuna jamaa alishawahi kuomba ushauri juu ya kabila hilo hilo, ni vema ukatafuta kwanza hapahapa, ndo maana watu wanaona uvivu kuchangia vitu ambavyo walishavichangia
  8. Wakashina

    Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    Shida ni pale unapokuwa na wasichana wengi, we kila unayempata twende kazi, mkipima na kuaminiana wala hakuna shida mpaka sukarini me nazama
  9. Wakashina

    Benson Kigaila awadhalilisha wakazi wa Manzese

    naona mmeishiw vya kumtetea mwenyekiti wenu, mmejikatia tamaa kabisa, mnabaki kudandia kauli ambazo hazina hata mashiko
  10. Wakashina

    Polisi wazuia msafara wa mgombea ubunge wa CHADEMA

    Nakumbuka wakati tumetangazwa washindi ubungo tukawa tunaongozan na mbunge akiwa kwenye gari sisi chini, polisi wakazuia maandamano yetu ila waliruhusu magari yaendelee na safari sasa leo magari nayo yanamaandamano, kazi ipo
  11. Wakashina

    Polisi wazuia msafara wa mgombea ubunge wa CHADEMA

    duh hivi magari nayo yanamaandamo? hii ndo kwanza nasikia leo
  12. Wakashina

    CHADEMA kufanya mkutano na waandishi wa habari tarehe 18 feb, 2014 kujibu kauli za JK

    hatua nzuri chama changu,,,nyie ndio wakuwasemea watanzania wengine wote wanaogopa
  13. Wakashina

    Hivi vibamia vinaanzia nchi ngapi jamani?

    0.2mm kama hiizo zako
  14. Wakashina

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    lazima utaisha tu na mimi nitaibuka mshindi hapa
  15. Wakashina

    Lema akamatwe na kushitakiwa kwa kosa la UHAINI!

    hivi yule pinda aliyesema wapigwe tuh, n huyu kikwete anayesema watu wapigwe si ndo wahaini na wauaji wakubwa hawa
Back
Top Bottom