Recent content by Wakala og

  1. Wakala og

    Fursa zipi zinapatikana Tunduma?

    Chief fursa ziko nyingi mno maana kuna Magar makubwa yaeendayo nchi jilan kama Zambia,Malawi,Zimbabwe,Burund na Kongo uk yapo ya kutosha mpk kuna mda barabara inakuwa Jamu.,kwa iyo wagen ni wengi wa kuingia na kutka kwanza ujue uk ni border ivyoo mwingiliano wa watu ni mwingi mno ivyoo ni ww tu...
  2. Wakala og

    Fursa zipi zinapatikana Tunduma?

    [emoji1666][emoji1666][emoji120][emoji120][emoji106]
  3. Wakala og

    Fursa zipi zinapatikana Tunduma?

    [emoji1666][emoji1666][emoji120][emoji106]
  4. Wakala og

    Fursa zipi zinapatikana Tunduma?

    [emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji106]
  5. Wakala og

    Fursa zipi zinapatikana Tunduma?

    Ni sawa usemavyo ila tambua kuwa Jungu kuu halikosi ukoko.
  6. Wakala og

    Fursa zipi zinapatikana Tunduma?

    [emoji120][emoji120][emoji120][emoji106]
  7. Wakala og

    Fursa zipi zinapatikana Tunduma?

    Kwa sasa iv nauza matunda hapa stend nafuata uko shamban naleta mjin na maokoto kama yote iv kwa hii biashara ingawa hata katkat kumekuwa na changamoto za hapa na pale kutkna na mvua tyr zimeshaanza kunyesha baadhi ya maeneo meng yanayozungka hii Tunduma.ila pia biashara nyingne ambayo ningeweza...
  8. Wakala og

    Fursa zipi zinapatikana Tunduma?

    Mi niko Tunduma apa maeneo ya stend ya zaman ndipo ninapoendsha shughuli zangu za kusaka mkate wa siku ila kiukwerii apa Tunduma fursa ziko nyingi mno maana hata mm mwenyewe ni mgen hapa na kilicho nivutia icho baada ya kuona kuna fursa nyingi hususan kwa mtu mgen ingawa wenyeji ni wapambnaji...
  9. Wakala og

    Nazi (Lindi na Mtwara)

    Ulifalikiwa kumpta mtu wa kusin(mtwara/Lind)
  10. Wakala og

    Hivi kuna siri gani kwenye ugoro wazee?

    Tena huo ugoro ni hatr sana ulitaka kunikatisha maisha huo yaaan siitaji hata kuusogelea hata kdgo.,yaan ilikuwa iv mi ninarafki yangu nae mtuamiaji mkubwa sana wa hii kitu so siku 1ja nilitaka kujua kuna faida gan kwenye iyo kitu anatumia akanijibu kwa ufupi kuwa nawe nunua wa kwako huwanze...
  11. Wakala og

    Ukiwa na mtaji mdogo ufanyeje ili upate faida?

    Lengo kupata maelezo zaidi mkuu kwa kuwa umejaribu kuonyesha njia mbalimbali za kujikwamua ni ivyoo tuu chief.
  12. Wakala og

    Ukiwa na mtaji mdogo ufanyeje ili upate faida?

    Mkuu naomba unitumie namba yako
Back
Top Bottom