Wakubwa naomba msaada. Mke wangu uke wake unadischarge maji maji mazito kidogo ambayo hayana harufu.
Ana mimba ya miezi mitatu na nimekuwa kila nikikutana naye kimwili analalamika kuwashwa. Je kukutana naye kunaweza kumwathiri mtoto tumboni?
Tumejaribu sana kutumia dawa za vidonge na tube...
Sasa mwaka huu issue haitakua kuwalaumu ccm bali wananchi kwa kukubali kuchagua mtu bila kufikiria. Kiongozi mzuri hayuko ccm tu, bali hata cuf, chadema, na kadhalika. Ni sisi wananchi kuamua kumchagua mtu sahihi na si chama!
Habari zenu watanzania. Huu ni ujumbe mahususi kwa wana Nkenge na wapenda maendeleo ya jimbo letu. Hivi kweli tulikosa mtu makini, msomi na thabiti mwenye kuweza kuleta maendeleo kwa jimbo letu.
Huwa nashikwa na aibu kubwa pale ninapoona mawazo ya mbunge wetu akichangia hoja mbalimbali bungeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.