Recent content by wainga

  1. W

    JamiiForums Tanzania Tunduma ni moja kati ya maeneo muhimu sana kuishi na kufanya biashara ya mazao

    Huifajamu Tunduma wewe!
  2. W

    JamiiForums Tanzania Tunduma ni moja kati ya maeneo muhimu sana kuishi na kufanya biashara ya mazao

    Makusanyo yapo vizuri sana! Mpaka sasa imevuka lengo la makusanyo!
  3. W

    JamiiForums Tanzania Tunduma ni moja kati ya maeneo muhimu sana kuishi na kufanya biashara ya mazao

    Sio halmashauri ndogo!....ni halmashauri ya mji kama ilivyo halmashauri ya Njombe!
  4. W

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya mtu hai kishirikina

    Shikamoo Mshana?! Mimi niliota niko kijijini kwetu napita karibu na choo cha kilabuni! Basi niliwakuta wana wanasaficha vyoo kwa maana ya kutoa kinyesi kwenye mashimo ya vyoo!. Sasa wakati napita karibu nikamwagiwa kinyesi mwilini kama bahati mbaya hivi! Sasa naomba kujuwa maana ya hiyo ndoto...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

    Pole sana!
  6. W

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu ndoto hii

    Habari zenu? Kwanza mimi sio muandishi wala mchangiaji sana wa mada zinazoletwa humu jukwaaan, kwahiyo naomba hicho kisiwe kigezo cha kutonipa ushauri! Mimi naishi Nyanda za juu kusini katika mojawapo za Wilaya zinazolima mpunga. Sasa leo nimeota ndoto ilinishangaza sana kitu kilochopelekea...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Ni wilaya gani ambayo unadhani baada ya miaka 15 itakuwa Manispaa?

    Kweli we pili pili kichaa!
  8. W

    JamiiForums Tanzania Ni wilaya gani ambayo unadhani baada ya miaka 15 itakuwa Manispaa?

    Kweli Tunduma tunacheleweshwa tu Naona bado hatuna watu wa kupush
  9. W

    JamiiForums Tanzania Ni wilaya gani ambayo unadhani baada ya miaka 15 itakuwa Manispaa?

    Tunduma itakuwa ya kwanza kwenye hii list!
  10. W

    JamiiForums Tanzania Ninakuja Tunduma kuanza maisha upya

    Tupo wengi sana!
  11. W

    JamiiForums Tanzania Kufufuka kwa wafu - Ni maajabu yanayoendelea kwa kasi nchini huku wanahabari/jamii wakizipa nafasi ndogo kama habari zinazohitaji uchunguzi wa kina

    Haya mambo kama hujawahi shuhudia unaweza sema pengine ni uongo! Lakini kuna jamaa hatukujuwa chochote kuhusu alikotokea wala historia yake,lkn tulifahamiana nae kama miaka 3 hivi! Basi kuna siku wakafika ndugu zake kutoka Lusaka na kuanza kuangua kilio na kisha kumchukua na kuondoka nae kurudi...
Back
Top Bottom