Recent content by wagagagigi

  1. W

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

    I know right? wamejitosa bila aibu! Mungu ameanza kuwaumbua!
  2. W

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe na wenzake inaitesa Serikali, inawatesa viongozi wa vyama na Serikali na inatutesa raia wema kuliko inavyomtesa Mbowe na wenzake

    Historia ya tangu na enzi inaonyesha kwamba Mungu ana kawaida ya kuwaondoa wanaoddhulumu. Kwa hio katika hili jiulize ni nani anaedhulumu? Kama ni Mbowe ndie anaedhulumu basi ni kweli kwamba Mungu ndie atakaemuondoa. Ila kama ni kinyume chake basi elewa kwamba Mungu anajuwa ya siri na ya dhahiri...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Kicheko cha Shahidi wa 12 wa Jamhuri Luteni Denis Urio Mahakamani kina maana gani?

    Kilichomchekesha ni 1130138344 'DENIS OWNER' 😂
  4. W

    JamiiForums Tanzania Ole Sabaya: Mbowe aliamini kwamba yeye ni mbunge wa kudumu wa Hai na aliona mimi ni kikwazo kwake akaunda kundi la kunidhibiti

    Wengine tuko mbali hatuoni, kwa hio kama sio yeye kuanzisha huo uzi tusingejuwa hio habari BiShee!
  5. W

    JamiiForums Tanzania Siku za Humphrey Polepole na wenzake ndani ya CCM zinahesabika

    Mungu kweli ni mkubwa na mwingi wa mipango! leo ma CCM yanalana yenyewe kwa yenyewe kama mazombe, na huu ni mwanzo tu... tutaona mengi! Dhulma haina mwisho mwema!
  6. W

    JamiiForums Tanzania Zitto: Hata kesi ya Mbowe ni jumba bovu kwa awamu ya 6. IFUTWE!

    Hata haingii akilini ni kwa nini alikubali kitu hiki kitokee bila ya kutafakari madhara yake ni makubwa na hayafutiki !
  7. W

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 15, Nov 2021

    Ushungi wake hauna maana unayotakiwa uwe!
  8. W

    JamiiForums Tanzania Moses Lijenje aliyetajwa kutupwa na Polisi kesi ya ugaidi ya Mbowe na wenzake ni nani?

    Ipo siku, yanayomkuta mbowe yatakukuta na wewe!
  9. W

    JamiiForums Tanzania Moses Lijenje aliyetajwa kutupwa na Polisi kesi ya ugaidi ya Mbowe na wenzake ni nani?

    You never know walimfanya nini hadi kuchukuwa uamuzi aliochukuwa!
  10. W

    JamiiForums Tanzania Moses Lijenje aliyetajwa kutupwa na Polisi kesi ya ugaidi ya Mbowe na wenzake ni nani?

    Waseme na akina Azory Gwanda wamemfanya nini?
  11. W

    JamiiForums Tanzania Moses Lijenje aliyetajwa kutupwa na Polisi kesi ya ugaidi ya Mbowe na wenzake ni nani?

    Waswahili walinena : yalio baharini yangojwe ufukweni... na hii kesi ya mbowe huenda ikawa chanzo cha mengi kuibukia ufukweni likiwemo lile la maiti ndani ya viroba vilivyookotwa kando ya bahari.
  12. W

    JamiiForums Tanzania Tuache unafiki, Tanzania hatuna tena heshima kimataifa

    Samia atarudi uso mdogooo! kama angelijuwa wala asingelikwenda. Sijui ni nani aliempa aidea ya kwenda ? LOL!!
  13. W

    JamiiForums Tanzania Uonevu wa NEC ni bomu linalosubiri kulipuka; Wagombea 10 Upinzani Shinyanga waenguliwa kuwania Udiwani kwa kukosa sifa

    Kwani hawa hawajui kama Tanzania hakuna uchaguzi? Kilichowapa washiriki huu uchaguzi ni kitu gani kama si ubinafsa? Hatutaki kusikia manungu'uniko kwanza tudai katiba na tume huru tusipotezeane muda!
  14. W

    JamiiForums Tanzania Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

    Jiwe limewapata pabaya... kumbe ni kweli maneno ya Lissu!
Back
Top Bottom