Recent content by wadray

  1. wadray

    Utaratibu wa kubadili eneo la biashara

    Habari ndugu zanguni, naombeni msaaada wa kiufahamu hivi ikiwa unataka kuhamisha biashara yako kutoka mtaa mmoja kwenda mtaa mwingine lakini biashara ni ileile na ni ndani ya wilaya na mkoa huohuo, Je kuna haja ya kwenda TRA na HALMASHAURI kwa ajili ya kubadili location ya biashara au unasubiri...
  2. wadray

    Lipi ni jina sahihi kwa watoto wa namna hii

    Mtoto anakuwaj haramu wakati dhambi ni ya wazazi, mbn wakati mwingine watoto wa nje wanakuwa tegemezi ktk familia kuliko hata hao wanaoitwa harali.
  3. wadray

    Njia ya maisha yangu ilipofungwa ghafla

    Dahhhhh moyo wangu unauma sana tena sana, sina namna nyingine ya kusema zaidi ya kusema kuwa naumia,pole sana mungu akutie moyo na kukufuta machozi
Back
Top Bottom