Recent content by wababayangu

  1. wababayangu

    Kataa kabisa urafiki au mahusiano ya kawaida na Askari Polisi

    Mimi nasimama pale pele mkuu ya kuwa ndani ya polisi Kuna polisi wabaya na wazuri. Na kuna polisi wametunusuru na ubaya wa polisi wenzao. Kwa hiyo kuwajumlisha wote binafsi sikubaliani na wewe.
  2. wababayangu

    FT: Yanga SC 0 - 0 KVZ FC | Mapinduzi Cup | New Amaan Stadium | 04.01.2024

    Hii KVZ ni ya nchi gani na inashiriki ligi gani!! Hadi inatoka sare na yanga itakuwa ni miongoni mwa club 10 bora afrika?
  3. wababayangu

    FT: Yanga SC 0 - 0 KVZ FC | Mapinduzi Cup | New Amaan Stadium | 04.01.2024

    Utofauti wake na boko ni urefu na ufupi mkuu
  4. wababayangu

    Vigogo watano Polisi Arusha mbaroni kwa rushwa ya Milioni 10,mmoja ashikwa na presha aanguka akihojiwa na tume ya IGP

    Tukio hili umelielezea kipolisi polisi sana bila shaka wewe ni polisi na umezungukwa na hao mapolisi wenzio. Hadi IR NUMBER!!
  5. wababayangu

    Vigogo watano Polisi Arusha mbaroni kwa rushwa ya Milioni 10,mmoja ashikwa na presha aanguka akihojiwa na tume ya IGP

    Wawasamehe jamani. Wanajiandaa na machungu ya kikokotoo. Bila ya hivyo watastaafu wakiwa hawajajenga nyumba kwani mishahara yao ni kichekesho na wakistaafu wanakutana na kikokotoo.
  6. wababayangu

    Kataa kabisa urafiki au mahusiano ya kawaida na Askari Polisi

    Ninachojua mimi polisi ni sehemu ya jamii. Ni kweli Kuna polisi ni wasumbufu kupita kiasi. Kiuhalisia hao wanaenda kinyume na kanuni za utumishi wa umma. Lakini pia kuna polisi ni wastaalabu na wana utu hata zaidi ya baadhi ya raia wenzetu. Nakumbuka mwaka juzi mwzi wa 7 Kuna askari polisi...
  7. wababayangu

    FT: Yanga SC 2-1 Jamus FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 02/01/2024

    Ni ya Sudan tena Sudan yenyewe ni Sudan ya kusini. Haijawahi kushiriki mashindano yoyote ya nje ya nchi yake. Kumbuka ni ya Sudan kusini
  8. wababayangu

    FT: Yanga SC 2-1 Jamus FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 02/01/2024

    Ingizo jipya vipi!! Halijaonyesha a new magic
Back
Top Bottom