Kwanini Chuo cha kodi (cha serikali) hakitambuliki Ajira portal katika kazi za taxation? Hasahasa katika ngazi ya Bachelor Degree in customs and tax management?
Mfano kuna kazi za Mkaguzi wa mahesabu daraja la 11 (Wanaitaji Bachelor of tax management ambapo ni moja wapo ya kigezo lakini...
Boda boda wa KIVUKONI ni kero kubwa abiria watembea kwa miguu wanapata shida kutembea kwa uhuru hadi kuna Wakati mwingine wanaleta msongamano kwa kupaki bodaboda zao kati Kati ya barabara za watembea kwa miguu .Naomba Mamlaka husika iwataftie eneo maalumu kwa ajiri ya kusafirisha Abiria.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.