Mihemko ya nn inakufanya uongee bila mpangilio. Kwani usipohemuka hutaeleweka?
Sasa kwann usingeanza na swali hili? Mbona ni swali zuri na lenye majibu.
Una haraka sana bwana macho. Yaani una mbio za kuparamia kutoa hoja. Unatoa majibu kwa kutumia hisia ndo maana unahemuka. " Embu toa ujinga hapa, usitutishe, peleka upumbavu huko"🤣🤣🤣🤣
Wewe huna madhara wala msaada kwa carlos na pengine hujui kupima uzito wa alichoongea huyo carlos ndo maana unapayuka tu akipewa angalizo, unadhani anatishiwa.
Huna madhara wala msaada. Hoja zako si hatari ni za kawaida, upo salama na hujui tafsiri ya neno kutishiwa.
Mwenzako kagusa sehemu hatari kwa usalama wake, lazima apewe angalizo awe makini. Hajakatazwa asiseme ila awe makini, huko si kutishiwa ni kukumbushwa kuwa anazungumza mambo ambayo ni...
Jeshini kosa la kutokutii amri na uhaini au uasi adhabu inafahamika.
Nadhani hawa hawakukamilisha mafunzo ndo maana jeshi halijaona hatari kuwaacha mtaani.
Wangekamilisha mafunzo kwa 50% ya kijeshi wasingethubutu kugoma, wangefata taratibu maana wanaelewa tafsiri ya hilo tendo.
Ok mkuu,
Humu JF tusidhani tupo salama sana, si kila taasisi ya kulitolea taarifa usizozielewa, kuna watu humu ukiwakwaza hakuna atakayeweza kukulinda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.