Je, Intelijensia ya Jeshi (JKT) haina uwezo wa kung'amua mambo ndani ya Jeshi?

Wewe ndiyo una akili za kuwapa watu maangalizo? Kusema ukweli ndiyo unaona mtu anafaa kupewa angalizo. Ondoa woga wako wa kishamba hapa. Tuko hapa tangu JF ianzishwe na kuna vitu nyeti mara milioni moja kuliko hili vimeandikwa hapa. Ondoa ushamba wako mtu wa kuja.
Una haraka sana bwana macho. Yaani una mbio za kuparamia kutoa hoja. Unatoa majibu kwa kutumia hisia ndo maana unahemuka. " Embu toa ujinga hapa, usitutishe, peleka upumbavu huko"🤣🤣🤣🤣
 
Shida hii ililetwa na wanasiasa(JPM) kwa kujaribu kuingiza siasa zao za hovyo mpaka jeshini. Walishindwa kutengeneza ajira kwa vijana wetu wakataka kugengeneza short cut kwa kuwaingiza jeshini.....!
 
Una haraka sana bwana macho. Yaani una mbio za kuparamia kutoa hoja. Unatoa majibu kwa kutumia hisia ndo maana unahemuka. " Embu toa ujinga hapa, usitutishe, peleka upumbavu huko"🤣🤣🤣🤣
Mjinga ni wewe unayekataza watu kuandika ukweli. Tena ni upumbavu wa hali ya juu
 
Wewe ni mwoga fulani asiyejitambua tu. Ameongea nini cha ajabu? Wanajeshi kudai haki zao wakafukuzwa? Naona ugeni wako kwenye mitandao ndiyo unakufanya uwe namna hii.
Sasa kumbe hata cha ajabu alichoongea hujui....

Nikija na Id yangu iliyozoeleka humu mm sio mgeni. Acha haraka kwenye maamuzi. Mbio za nn?
 
Ungenielewesha Mkuu na Sio Kuniita Juha Ila all in All Asante

Naomba kukuelewesha zaidi mkuu kama hutajali:

Yasemekana walikuwa wamefuzu zaidi kwenye wizi wa kura.

Hivyo uraiani kupo salama kumbuka hakuna uchaguzi tena karibuni.
 
Mjinga ni wewe unayekataza watu kuandika ukweli. Tena ni upumbavu wa hali ya juu
Unarudi pale pale kwenye mihemko. Ukikatazwa unaambiwa acha unachofanya. Angalizo unaambiwa kuwa makini na unachofanya. Huoni tofauti hapo?
 
Nimemsikiliza Jana CDF Jenerali Mabeyo akisema Kwamba takriban Vijana 854 wamefukuzwa Jeshi kwa Kufanya maandamano na Kugoma ambapo alisema ni uasi.

Je, Hao Vijana Kama Walikuwa na Uwezo Wa Kupanga na Kufanya Uasi ndani ya Jeshi ina maana intelijensia ya Jeshi Haina Uwezo Wa Kugundua Hivi Vitu na Kuzima Hizi Harakati za Hawa Vijana Mapema?

Haya wanaondolewa Jeshini na Wana kila Aina ya Mafunzo Je Wakiwa uraiani Watafuatiliwaje Ili wasifanye Madhara Yoyote Kwa Wananchi au Wanaweza Kujiunga Hata na Magenge Ya Uhalifu.

Je, wataachwa kiholela bila Kufuatiliwa Serikali ikajua wanafanya nn?

Cc MtamaMchungu JokaKuu
Hawa vijana waliofanya uasi ndani ya jeshi ni lazima wafukuzwe moja kwa moja hawafai
 
Bora nisote huku kwa mwajiri wangu ambaye akinizingua tunaweza hata kupigana ngumi yakaisha ila huko jeshini ngoja niwaachie akina Mura.
 
Unarudi pale pale kwenye mihemko. Ukikatazwa unaambiwa acha unachofanya. Angalizo unaambiwa kuwa makini na unachofanya. Huoni tofauti hapo?
Nitaachaje kuwa na mihemko wakati kuna mtu mmoja mwoga anayetaka kuwaambukiza wengine woga wake? Alichoandika kina nini cha zaidi mpaka umwambie awe makini? Labda ugeni wako hapa ndiyo unakufanya uone mtu akiandika jambo kuhusu jeshi anatakiwa awe makini. Kuna ubaya gani kama aliyoandika ni ya kweli? Hapa zimefunguliwa nondo nyeti sana na nyingine zimesaidia kutatua matatizo kwani watu wana uhuru wa kueleza ukweli bila hofu. Woga wako peleka platform za ma-house girls na mashangingi kama insta na facebook huko na siyo hapa.
 
Nadhani baada ya kuwatumisha bila malipo kwenye miradi ya ujenzi ni wakati sahihi kuwatema.Si kweli kwamba hawana intelligent ya kugundua viasilia vyovyote kabla ya tukio.
 
Nimemsikiliza Jana CDF Jenerali Mabeyo akisema Kwamba takriban Vijana 854 wamefukuzwa Jeshi kwa Kufanya maandamano na Kugoma ambapo alisema ni uasi.

Je, Hao Vijana Kama Walikuwa na Uwezo Wa Kupanga na Kufanya Uasi ndani ya Jeshi ina maana intelijensia ya Jeshi Haina Uwezo Wa Kugundua Hivi Vitu na Kuzima Hizi Harakati za Hawa Vijana Mapema?

Haya wanaondolewa Jeshini na Wana kila Aina ya Mafunzo Je Wakiwa uraiani Watafuatiliwaje Ili wasifanye Madhara Yoyote Kwa Wananchi au Wanaweza Kujiunga Hata na Magenge Ya Uhalifu.

Je, wataachwa kiholela bila Kufuatiliwa Serikali ikajua wanafanya nn?

Cc MtamaMchungu JokaKuu

Wameondoka na ujuzi wa ujenzi wakafungue makampuni ya ujenzi
 
Huna madhara wala msaada. Hoja zako si hatari ni za kawaida, upo salama na hujui tafsiri ya neno kutishiwa.

Mwenzako kagusa sehemu hatari kwa usalama wake, lazima apewe angalizo awe makini. Hajakatazwa asiseme ila awe makini, huko si kutishiwa ni kukumbushwa kuwa anazungumza mambo ambayo ni hatari kwake. ACHA MIHEMKO.
Unaongea pumba tu.
 
Kijana wa JKT hana mafunzo ya kila aina ya kijeshi wewe anajua vichache sana gwaride na silaha moja tu nayo anatumia tu kupiga range Akileta ta mtaani polisi jamii tu aweza mdhibiti

Hao vijana wakorofi nahisi wengi waweza kuwa watoto na ndugu wa maskari na wakubwa.Mtoto wa maskini sio rahisi kufanya maandamano au mgomo jeshini ni uasi.Kule hata upewe chakula kina funza lazima ule na useme asante afande
Hahahaha eti asante afande
 
Back
Top Bottom