very very bad,najisikia vibaya sana kwa hili ambalo serikali inatutendea hata pesa ya chakula tu jamani tutaishi vipi huko chuo!!! future zetu zinaenda mrama wallah!! inauma sana
me naona hakuna utaratibu iliofuatwa pesa zimetolewa kwa sandakalawe mwenye kupata apate,aliyekoswa amekoswa tu!! inauma sana cjui hatma yangu daa!!HESLB basi tu.
wana udom wenzangu naomba kuuliza jins ya kuzipata jioning instraction form ili nizitumie kuomba msaada wa ada na mahitaj mengine ya chuo,kwan hata me pia heslb wamenitosa.,natanguliza shukran za dhati kwenu!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.