Sheria inataka mtuhumiwa akamatwe wakati uchunguzi umekamilika lakini huku kijijini kwetu unakamatwa kwanza halafu uchunguzi unafuata kwa zaidi ya miaka mitatu!!
Angetafuta tatizo kwa nini watu hawaogi lakini kuwauzia watu wasije mjini bado hajawasaidia kuondokana na tatizo la kuondokana na uchafu. Msaidieni mwenzenu kujuwa maana ya kutawala nafsi za watu wake
Alikuwa mkosoaji mkubwa wa sera na taratibu za utawala huu, sasa nae ataamrisha wapinzani wapigwe mabomu ya machozi kwenye wilaya yake au atakuja na utawala unaokinzana na chama chake? Wakati utaamua
Naamini jaji ni mtu mbobezi wa sheria, sasa ni ajabu anaposema hakuna malalamiko juu ya uvunjwaji wa katiba!! Tekeleza wajibu wako usisubiri malalamiko wakati unayo nafasi ya kuzuia ukandamizaji wa haki ya kikatiba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.