Recent content by wa mtopwa

  1. W

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Marekani na Ulaya hazitautambua Uchaguzi Mkuu 2025 ikiwa CHADEMA haitashiriki!!

    Achana na ulaya/marekani hamna kitu hpo,wamezuia ARVS na Bado watu wanadunda,umasahau Jpm aliwachukuwa akina mdee na wezie 18,wakatengeneza mawaziri vivuli na maisha yalisonga,sembuse kipindi hiki ACT Kila kata kaweka madiwani na wabunge.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Najuta sana kuharibu ndoa ya huyu jamaa. Nitumie mbinu gani kumuomba msamaha?

    Sema mkee anauma dogo,ukute kunawatoto. Mke anauma dogo,Tena ukute kunawatoto wadogo wapo na mama yao.wewe uko huku jamii forum kuomba ushauri.malipo ni hapahapa duniani.
  3. W

    JamiiForums Tanzania Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

    Mashine ya kukunia nazi sokoni/mtaani
Back
Top Bottom