Recent content by Wa magharibi

  1. W

    Askofu Mwamasika: UKAWA sawa na muunganiko wa Walevi

    Huyo ni roho mtakatifu ama mtakafujo?
  2. W

    MBOWE, LIPUMBA NA MBATIA, ni wanafiki na Maadui wakubwa wa Taifa hili. Tuwakatae kwa nguvu zote

    Wacha kupiga nduru weweeee......funguka kuwa wewe ni magamba mnaanza kuwa na wasiwasi wapinzani kuanza kuungana......na bado ya KANU yatawapata safari hii!!!
  3. W

    Ni nini tafsiri ya muungano wa chadema ,CUF na NCCR mageuzi.

    Wakati mwingine kukaa kimya ni busara kuliko kuandika utumbo kama huu kwenye huu uzi. Wewe shida yako ni nini hata kama muungano huu ni wa muda? ama wewe ni magamba unaanza kuweweseka unapata shida wanavoanza kuungana? subilini ya KANU yanakuja si muda mrefu!!
  4. W

    "Waziri amtisha JK" , Tanzania Daima gazeti chochezi?

    ......Majanga......amekuwa KINANA na siyo CHIKAWE!!.....haya mimi napita tu
  5. W

    CCM yatoa miezi 6 kwa waziri wa Elimu kujiuzulu....Vinginevyo itamtimua kwa nguvu

    Mh Bona, wote tunaunga mkono kila anayetetea maslahi ya walimu kwani ni dhahiri wamesahaulika sana. Tunachopinga hapa ni Kinana kumpa Kawambwa ultimatum ya kuwalipa walimu madeni yao kwani yeye ndo amekalia hizo pesa? Anayetakiwa kuwajibika kwa hilo ni Serikali ya CCM siyo Kawambwa vinginevyo...
  6. W

    Nape Amponda Mbatia Kwa Kusahau Alizawadia Ubunge

    Nimeipenda hii kwani ni kweli kabisa huyu jamaa akili yake ni matope......kwa hivo kumbe ubunge wa kuteuliwa ndo uunge mkono kila kitu hata kama ni ujinga kwa vile tu JK ndo msimamo wake uunge mkono.....non sense!!
  7. W

    Jimbo la Nyamagana kurudi CCM-2015

    hahahahaha...uwiiiiiiiiiiiii....nimecheka mpaka basi watu wanavoombea t-shirt na kofia!!
  8. W

    JK afanya mabadiliko ya ghafla kwa Naibu Katibu Mkuu wa wizara

    Hata kama wasipopangiwa kazi nyingine kwani wana shida gani wakati mshahara unaingia kila mwezi kama kawaida? This is only in Tanzania anyway!! Wale jamaa wote waliosimamishwa akiwemo yule jamaa alikuwa katibu mkuu wizara ya nishati na madini akachangisha mapesa watu wakamletea nouma mpaka...
  9. W

    Nusu ya wakurugenzi wa Halmashauri wezi wakubwa nchi yamalizwa

    Wakurungenzi wanavopatikana haina tofauti na jinsi ma-DC wanavowekwa na CCM wote ni makada tofauti ni kwamba mmoja ana access ya CASH mwingine hana! Kwa hivo usitegemee hata siku moja kusikia eti kafungwa kwa ubadhilifu wa fedha za umma.
  10. W

    Mgogoro Mpya CCM: UVCCM yataka DR Shein amfukuze kazi Mwanasheria Mkuu Zanzibar

    UVCCM Zanzibar waache unafiki waseme ukweli kuwa Wazanzibari wote wanataka Zanzibar iwe nchi/serikali huru yenye kujiamulia mambo yake pasipo kingiliwa na Tanzania bara.
  11. W

    Uchaguzi Monduli, CHADEMA waambuliwa kuulizwa nyie ni akinanani? Lowassa afanya new style ya siasa

    Huo ni uchaguzi mdogo kwa hiyo ukisema kutumia helikopta ni matumizi mabaya ya resources hautakuwa sahihi. Kwa vile hata vyama vingine mbali na kutotumia helikopta vimepeleka wapiga debe ambao allowances zao zinatosha kulipia helikopta na mtu mmoja akafanya campaign maeneo yote hayo. Kwa hivo...
  12. W

    Zitto alinikataza nisiwe rafiki wa Saed Kubenea - Asah Mwambene, Mkurugenzi Habari/Maelezo

    Jamani wenye data hivi huyu jamaa.....yuko wapi siku hizi? alijifanya naye m-babe sana bwana wakamkomesha!!
  13. W

    Glad I Took Part in Second Debate – Uhuru

    Ni kweli kabisa yapasa kutizama na kusikiliza midaharo hii "objectively" then you will be able to evaluate the candidate fairly.
  14. W

    ICC suspect Sang endorses Raila

    Hii sasa mkanganyiko mwingine kwa wa K!
  15. W

    The 2nd 2013 Kenyan Presidential Debate.

    Mi nadhani hii inasaidia pia kusafisha hali ya hewa iliyoharibiwa na wagombea majukwaani wakitupiana mpira wa scandals. Kwa hivo kila mgombea ana nafasi kupitia mdaharo huu kujisafisha kwa kusema nini ukweli kuhusu kashifa yoyote aliyotuhumiwa. Mbona Kenyatta amekwepa swali na familia ina...
Back
Top Bottom