Recent content by WA KG

  1. W

    JamiiForums Tanzania Chuo kizuri cha utalii ni kipi?

    acha upumbavu uzuri uko kichwan mwako na siyo chuo labda umezoea kutafuniwa tu.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ada ya diploma vyuo vya Serikali

    kama unasoma masomo ya arts ada ni lak 4, science lak 6 kwa mwaka. ni hivo tu
  3. W

    JamiiForums Tanzania Restless Development, Chuo kikuu Dodoma (UDOM)

    naomba hatua za kufuata ili kuweza kujiunga. niko udom COED
  4. W

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu bila JKT inawezekana?

    Kwa nn hajaenda? over na yuko sehem gan coz huyo n wa mjib wa sheria hvyo amekiuka sheria
  5. W

    JamiiForums Tanzania Diamond & Balozi Kazaura (marehemu) kutunukiwa honorary doctorate na UDSM

    we hujui km chuo chako kmebak n sifa za mtaan tu ila kiukwel udsm hamna lolote
  6. W

    JamiiForums Tanzania Ofisi za HESLB ziko wapi?

    we una shda gan kule? isiwe ume2mwa na waliokosa mkopo ukajitoe mhanga, mana nyie vijana sa iv mna mapresha ya ajab. ms2mwagie unga
  7. W

    JamiiForums Tanzania Msaada, kuhusu kuahirisha mwaka

    utaritibu wa kuahirisha mwaka lazma uende chuo ulichopangiwa usajiliwe kwanza then ndo watakupa hatua za kufuata ikiwemo kuandika baru ya kuahirisha. hakikisha unafanya hvo coz hela itaendelea kwenda chuo na wajanja wanaweza kuifanyia mambo
  8. W

    JamiiForums Tanzania Njia ipi rahisi ya kuhama kozi chuo cha UDOM

    Nenda kaulize utaratibu utawala mkuu. ingia ofis ya director of undergraduate anaitwa profesa msoffe hapo atakusaidia kila kitu. n mtu mzur sana kuliko watawala wote udom
  9. W

    JamiiForums Tanzania University of Dodoma badilikeni

    wambie bwana
  10. W

    JamiiForums Tanzania Kuna rushwa TCU?

    we umeambiwa utume kwa njia ya mtandao na haraf ukajpeleka physicaly acha upigwe hela tu.... kiukwel kama umefuata njia zlizoainishwa na tume(tcu) hakna mazingira yoyote ya rushwa, hizo n lawama za bure
  11. W

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuacha kuvuta bangi

    endelea usiache mkuu kwa maelezo yako inaonekana inakusaidia, na mda s mrefu utapiga hatua kutoka akil tmamu had ukichaa. big upp mkuu
  12. W

    JamiiForums Tanzania University of Dodoma badilikeni

    we ropoka tu ila ukwel uko pale kuwa udom n chuo la ukwel we mwenyewe ukifika utataman uxome hapo ila hyo nafas htopata
  13. W

    JamiiForums Tanzania University of Dodoma badilikeni

    karatas za waden unazolpia n zp mzee km continuing skuelew. rerkal ya wanafnz unalpa mara 2 how?
  14. W

    JamiiForums Tanzania Ticha gani wa twisheni ulikuwa unamkubali sana

    Bahenda
  15. W

    JamiiForums Tanzania List ya transfer za degree mbali mbali

    kwa hil tu unashkuru mtandaon? najua cku ukifanikiwa kutransfer mkopo wako utalala kanisani ukishkuru coz huu ndo mtihan ulioko mbele yako kama una mkopo. you cant believe now but it will reach a time
Back
Top Bottom