Recent content by wa jina

  1. W

    JamiiForums Tanzania Unajua asili ya neno Tanzania linatokana na asili ya Kiarabau?

    Wathibitishe jambo hilo na vipi nchi zingine za dunia ambazo majina yake yanaishia na ia nayo inffluence ni kiislam?
  2. W

    JamiiForums Tanzania Unajua asili ya neno Tanzania linatokana na asili ya Kiarabau?

    Kiambishi ia kwenye jina la nchi yoyote mfano zambia,Tanzania ,Australia,Russia n.k asili yake ni kilatini na feminine nature na humanisha ''land of"kwa kiswahili ''ardhi ya.kwa kesi ya Tanzania,-ia humanisha ardhi ya Tanzan yaani ardhi ya Tanganyika na Zanzibar.Nchi nyingi zinaishia neno ia...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Je, CCM hupandikiza wagombea UBUNGE na UDIWANI la 7 na Form4 ili waendelee kubaki madarakani?

    Mtoa mada ni mmoja ya wale wenye mentality za dark age
  4. W

    JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na Huu umungu mtu unaooneshwa na serikali! Mpaka Sasa Mshahara haujatoka? Mnatuchukuliaje?

    Watumishi wa serikali 90% ni vilaza ndio maana serikali inawabinua inavotaka kama unga wa ngano.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Serikali imechelewesha mishahara au haina pesa?

    Hamna kazi wanayoifanya ,hata wasipolipwa ni sawa.
Back
Top Bottom