Recent content by W.M.G.

  1. W

    Mbowe asalimu amri kwa Slaa

    Ni kweli tangu Dk Slaa aondoke baadhi ya wafuasi wa CHADEMA asilia wamerudi nyuma.Ninavyoona kura watampa Magufuri.
  2. W

    CCM fanyeni haya kujitathimini

    namba 4 hapana ila yote ulosema yapo sahihi, hata mi najiuliza watafanyaje tathimin juu ya mgombea kujua anamvuto kiasi gani kwa wananchi ukiwa unatembea na lundo la wasanii, huta jua kama wananchi wanakuja kusikiliza sera za mgombea au wamekuja kusikiliza akina chege
  3. W

    Haijawahi kutokea: Lowassa ashusha Tsunami Bariadi kwenye mkutano wa kampeni

    vp comedy kama wenzetu ilikuwepo? au bila comedy nyomi yote iyo
  4. W

    UKAWA tuache kujamini kuliko kiwango kazi bado nzito

    Hilo neno WANASHINDA wewe hujui na mimi sijui.Usiaminishe watu usichokijua.Piga kura tupate mshindi tarehe 25 Oktoba.
  5. W

    Kitakachowaua UKAWA wasichukue nchi Oktoba hiki hapa!

    Umenena vyema katika kipengele cha 05.Hiyo mikutano inahudhuriwa na watu wa itikadi zote,sio kipimo cha kura.
  6. W

    Ama kweli Lowassa amekwaa kisiki hatari!

    Kwani kuna tatizo gani kuleta watu wa maeneo ya mbali ambayo unaamini huwezi kufika ili waje wasikilize sera.Hicho kitu cha kujiamini na wingi wa watu kwenye mikutano kitawagharimu UKAWA.Binafsi nimeshuhudia watu wengi katika mazingira niliyopo wakihudhuria mikutano ya Wagombea wote wa Urais...
  7. W

    Kutoka Morogoro: Mkutano wa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

    Pole sana.Lini Rukwa,Katavi na Tabora imetekwa?Kama hiyo ndio tathmini ya ushindi,kushinda ni ndoto.
  8. W

    Nani atumike kuzuia mafuriko

    Mbona sio mbali,ni mwezi ujao,ndo utajifunza siasa huwa inaendeshwaje.
  9. W

    Lowassa acha unafiki, onesha kweli kuwa wewe ni mtu wa maamuzi magumu

    Wewe na nani mnampa kura.Sema nitampa kura.Mnafanya siasa za ujumla namna hiyo mnadhani ndio kura halisi.Subiri Oktoba utabaki mdomo wazi.
  10. W

    Star TV Kuna maisha baada ya uchaguzi

    Mzee wa Rula Nani wa kuhurumia.Muda wa kazi wewe unakunywa viroba,baadae unalalamika CCM haijakuletea maendeleo.Hawa ndio mashaabiki wa UKAWA.Poleni UKAWA.
  11. W

    Nani atumike kuzuia mafuriko

    Poleni sana.Hali ilivyo kwa sasa upinzani kushinda ngumu sana.Tuseme mnatumia criteria ya mikusanyiko ya watu katika mikutano mnadhani wote wapiga kura wa UKAWA.Mtashangaa Oktoba
  12. W

    Wanachama wa CHADEMA Ludewa wachoma kadi na kuhamia ACT-Wazalendo

    Kwa kweli Upinzani hali yao sio nzuri.Binafsi wamenikatisha tamaa,sioni sababu kwa sasa kuwaunga mkono.Dr Slaa ndiye alikuwa anatukusanya vijana na tunamuelewa.Leo wanamponda.Upinzani bado sana Tanzania.
  13. W

    Msuya: Nashangaa, hivi Sumaye anafikiri!

    Neno lazima sio mahala pake,kwani wewe ndo unatupigia kura Watanzania wote?
  14. W

    Msuya: Nashangaa, hivi Sumaye anafikiri!

    Hata mimi bado ninamshangaa.Mpaka sasa hivi siamini anachokisema hata kwenye hii mikutano ya UKAWA bado naona kama anaigiza vile.
Back
Top Bottom