Recent content by Vyamagila

  1. V

    Pentekoste iliyochangamka

    Uzuri hata sijataja ikiwa naenda kanisan, achilia mbali kuwa 'shabiki' wa dhehebu lolote!😀
  2. V

    Pentekoste iliyochangamka

    Ikiwa kusudi lako ni kuendelea kuthibitisha vile unajua, hautakaa uelewe haijalish utatolewa ufafanuz upi. Biblia hauwez kuiendea na tafsiri zako halaf ikakupatia tafsiri yake, ili kupata kile Kimesemwa huko lazima uende na roho ya mwanafunzi asiyejua kitu!
  3. V

    Pentekoste iliyochangamka

    Vema sana ikiwa unalijua hilo!😀 We unafikir tunaoneshana ubabe wa kufaham maandiko?
  4. V

    Pentekoste iliyochangamka

    Heeee 😧😧Lwiva wacha nikuache, utajifunza kwa namna nyingine
  5. V

    Pentekoste iliyochangamka

    Sina pingamizi na hili kuwa dhambi inafanya kazi kwa namna ya ajabu, lakini hii haimaanishi unapaswa kuihusianisha na gumbo lolote usilolielewa kwenye biblia. Hata hivyo kuhusu dhambi biblia imeweka waz kuwa ni uasi wa sheria.
  6. V

    Pentekoste iliyochangamka

    Lviwa ulimwengu mzima wa wasomaji wa biblia wataniunga mkono kuwa huwezi kukitenganisha kitabu cha Daniel na ufunuo. Ishara zilizotumika huku zinatumika pia huku, hahahaa tumia biblia kuunga hoja zako mkono vinginevyo atakuja mwingine na kusema mnyama ni simba na 666 ni idadi ya mashabiki. Uko...
  7. V

    Pentekoste iliyochangamka

    Kiukweli mm sina mgogoro na uhusiano uliopo kati ya ufunuo sura ya 13 na 17, tatizo ni vile unazitafsiri sura hizo bila ushahidi wa biblia yenyewe. We unafikiri kila mmoja akisema anachotaka si watu watachanganyikiwa? Na kwakwel biblia imeonekana kuwa figisu za watu na uongo kwa sababu ya watu...
  8. V

    Pentekoste iliyochangamka

    Sijui kwanin wayapotosha maandiko kiasi hiki, nataman tu watu wasiyabebe baadh ya maneno yako kama yalivyo badala yake wakachunguze wenyewe maandiko kuona ikiwa ndivyo ilivyo au la, okay so umeitaja Ufunuo 17(ambapo anatajwa mwanamke kahaba). 1. Kwanza ufunuo 17:18 inaweka wazi kuwa mwanamke...
  9. V

    Pentekoste iliyochangamka

    Tafsiri Tafsiri ya biblia nitaileta wakat ukifika, kwa sasa endelea kujibu maswal yangu!
  10. V

    Pentekoste iliyochangamka

    Sijui kwanin wayapotosha maandiko kiasi hiki, nataman tu watu wasiyabebe baadh ya maneno yako kama yalivyo badala yake wakachunguze wenyewe maandiko kuona ikiwa ndivyo ilivyo au la, okay so umeitaja Ufunuo 17(ambapo anatajwa mwanamke kahaba). 1. Kwanza ufunuo 17:18 inaweka wazi kuwa mwanamke...
  11. V

    Pentekoste iliyochangamka

    Umenena vema kuwa umetumia akili yako!
  12. V

    Pentekoste iliyochangamka

    😀 Unaweza ukatumia biblia kuunga mkono tafsiri unazozitoa?, vinginevyo yeyote anaweza kusema chochote kuhusu lolote kwenye biblia.
  13. V

    Pentekoste iliyochangamka

    Lwiva hoja yako naielewa lakin ili kuiweka sawa zaidi ipatane na kile kimeelezwa kwenye biblia kuhusu 666 (ufunuo 13:18) lazima utoe maana ya vitu vifuatavyo ukihusianisha na tafsiri yako ya 666. 1. Joka (The dragon) ambaye alimpatia nguvu mnyama(vs 2), ambaye pia aliabudiwa kwa sababu hiyo. 2...
  14. V

    Naombeni msaada wa haraka tafadhali

    Iko hivi, rafiki yangu akiwa njiani kwenda sokoni alikutana na ex wake akiwa na wenzie ambao walimchukua binti huyo kwa nguvu kisha wakamfungia ndani. Inasemekana pia walimfanyia ukatili wa kingono. Kisha huyo jamaa alitoa taarifa nyumbani kwao na binti kuwa anaye binti yao so wasimtafute...
Back
Top Bottom