Recent content by vvalenxy

  1. vvalenxy

    Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

    nahc kufunguka hapo hadi ucku aseee,,cha muhim n subiraa maana mda wowote link itafungukaa
  2. vvalenxy

    Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

    madogo saiv matumbo joto,ata chakula cha ucku hawatokula vzur
  3. vvalenxy

    NACTE mlisema Leo mnafungua udahili mbona kimya

    Ordinary diploma in computer engineering Ndo nataka kuapply,,,
  4. vvalenxy

    NACTE mlisema Leo mnafungua udahili mbona kimya

    Ndo kwanza bado niko first year second semester,,, kumalza had 2019,,af sasa nmeanzia diploma hii udom 2015 Ndo tukawa tumerudishwa home na kupangwa vyuo vya kati,,,l
  5. vvalenxy

    NACTE mlisema Leo mnafungua udahili mbona kimya

    Mie ndoto zang n kugonga IT kwa sanaaa kiongoz ,,,Uwalim n kaz nzur sawa lakin kusoma Kitu usicho penda n kama kujitafutia kufail badae,,, Was was wangu n kwamba hivi sasa ninalipiwa na loanboard course hii nisomayo(special dip) in sec,mathematics an ICT,na nataka kusoma diploma in computer...
  6. vvalenxy

    NACTE mlisema Leo mnafungua udahili mbona kimya

    Nataka kusoma IT kiongoz,, Hivi sasa nasoma Uwalim wa secondary ,,mathematics and ict
  7. vvalenxy

    NACTE mlisema Leo mnafungua udahili mbona kimya

    Nataka kusoma IT hapo mwanzo nilikua nasoma diploma ya Uwalim wa sec mathematics and ict
  8. vvalenxy

    NACTE mlisema Leo mnafungua udahili mbona kimya

    Msaada Nahitaj kuacha course nisomayo kwa sasa na kuchukua course nyingine vipi nitachaguliwa au itakua vumbi tu
Back
Top Bottom