Recent content by vunjamirija

  1. V

    Maneno ya Robert Mugabe kuhusu kinachoendelea South Africa

    Watake wasitake Mugabe ni kichwa haangalii sura ya mtu. Hali ngumu ya maisha Zimbabwe ni baada ya Mugabe kusimamia haki ya kile anachoamini kwamba rasilimali ikiwemo ardhi yenye rutuba imilikiwe pia na wazawa. Kwa ubinafsi wa Wazungu wakamuwekea vikwazo kibao na kupandikiza mamluki ili...
  2. V

    Dk. Reginald Mengi: Waziri Muhongo ni muongo, takwimu zake za uongo pia!

    Re: Taarifa ya dkt. Reginald a. Mengi mwenyekiti mtendaji wa ipp limited kwa vyombo vya habari tare. Dr. Mengi kama binadamu inawezekana ana mapungufu yake tena yawezekana yakawa mengi tu. Lakini pia anayo mazuri mengi ambayo ameyafanya kwa umma wa Watanzania ambapo na hili analolizungumza...
  3. V

    Kwa wanaume watu wazima tu!!!

    Kaka hebu angalia imani yako ya kidini inasemaje, na hasa ukizingatia kiapo chenu cha ndoa. Kwa kuangalia ktk mtazamo huo utapata jibu muafaka.
Back
Top Bottom