Recent content by vunga g

  1. V

    Ukimtumia mtu mnayeheshimiana text meseji isiyofaa kimakosa unafanyaje?

    Tuma msg nyingine fanya kama unaomba mchango wa hela ya matibabu kwenda India next week weka crazy amount usitaje tatizo au ugonjwa. Kama ukikutafuta usipokee wala kujibu sms after 1-2 days akikutafuta mwambie simu ulipoteza simu. 😁
  2. V

    Natafuta investment patner/co-founder, aina ya biashara - Software as service business model (Saas)

    Thanks mkuu hii ipo on plan mda sio mrefu itakamilika baadhi ya clients tulioanza nao imekuwa ni demand yao kubwa . Barikiwa sana boss for showing love and concern .
  3. V

    Natafuta investment patner/co-founder, aina ya biashara - Software as service business model (Saas)

    Shukrani kwa mchango wako boss but soma vizuri uelewe uzi kabla hujatoa mchango , kipindi naandika hii post nlikuwa kwenye initial stage , but kwa sahiv Glory be to God business iko ina run .
  4. V

    Nimepata mfadhili wa mradi mmoja mkubwa unaoweza kugharimu Tsh billioni 116. Ni mradi gani unaweza kugharimu hizo pesa?

    Mkuu habari, mimi ni software engineer njoo tutengeneze kampuni kama uber ,trip advisor, na e-commerce plartform itakayoweza toa service tanzania na africa kwa ujumla , tayari nina prototype, kwa upande wa software na mobile apps nazitegeneza na zinakuwa fully functional ndani 30 days . The from...
  5. V

    Nizingatie mambo gani ili niwe tajiri mkubwa sana hapa Afrika?

    Kwanza mpaka hapo kwa swali lako tayari umeshamiss point mkuu , hakuna tajiri mkubwa duniani aliwahi kufikiria kuwa tajiri au kuwa na malengo ya kufikia utajiri alionao. Utajiri ni product ya mchango wako chanya kwa jamii inayokuzunguka then in return , outcomes ya mchango wako au solution yako...
  6. V

    Natafuta investment patner/co-founder, aina ya biashara - Software as service business model (Saas)

    Mkuu nimekupata lakin kwa bahati mbaya siwezi reveal any technology information coz they are key success factors na zipo nje ya malengo ya uzi wangu , im here looking for co founder/investor . Demo ya app nimeweka instagram link mwanzoni mwa uzi unaweza pitia ukaona screenshoot . If you’re...
  7. V

    Natafuta investment patner/co-founder, aina ya biashara - Software as service business model (Saas)

    Mkuu patient payment ni feature tu ambayo inampa urahisi wa kufanya malipo mteja/mgonjwa kama atapata matibabu kwenye hospitali ambayo watatumia hii software , na salary ni variables kulingana na input power ya employee, muda na experience . Back to your questions 1)Mteja anaweza fanya malipo...
  8. V

    Natafuta investment patner/co-founder, aina ya biashara - Software as service business model (Saas)

    Thanks kwa feedback mkuu , naomba msaada tafadhali kama unafahamu platform au connection za investors. Naamin Hapa JF wapo wengi tu coz JF ni kubwa the only challenge i see ni awerness kuhusu software business, coz hamna mtu anaweza fanya investment kwenye biashara ambayo haifahamu vizuri , but...
Back
Top Bottom