Mm nilienda kuapply Internet Cafe bro mmja ndie alinisaidia hyo application na mwisho wa application wakasema majbu nitapata kwa email yang au watapiga cm xo nimekaa naona kmy alaf watu wanasema majbu yametoka nikiuliza watu wanasema niangalie profile yang nashndwa kuelewa hata jins ya kuangalia...
Jaman mm nilimaliza kidato cha nne mwaka jana nikapply nacte ordinary diploma ya clinical officer nina c ya chemistry c ya physics na b ya bios mpk sasa cjapata majbu naomba mniangalizie jaman cz nahc kuchangnykiwa Jina langu ni vumilia Cornel sinyenga na deadline ilikuwa tar 18 /7
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.