Recent content by Vumbi la congo

  1. Vumbi la congo

    JamiiForums Tanzania Ayatollah ,saiv nipo mbion kutafuta mke.

    Ukifika 30 hujaoa ni ngumu sana kuoa
  2. Vumbi la congo

    JamiiForums Tanzania Wakuu h-pylori itanimaliza

    Tumia majani ya mloge mim mwenyewe niliteseka sanna na madawa ila mlonge ni mwisho,,,
  3. Vumbi la congo

    JamiiForums Tanzania Chumvini litakuwa jambo langu la mwisho kufanya hapa duniani

    Huko hapafai achana napo
  4. Vumbi la congo

    JamiiForums Tanzania Hii case ya huyu jamaa yangu inasolviwa vipi wakuu?

    Yan kumla mkeo unakuwa busy,,,,,unashindwa kupiga bhas hata cha ushahidi tu nacho huwezi,,,,wiki mbili zote
  5. Vumbi la congo

    JamiiForums Tanzania Polisi wamfunga pingu mwananchi na kumuacha aendenazo nyumbani

    Vichekesho haviishagi bongo
  6. Vumbi la congo

    JamiiForums Tanzania Kwa muda mrefu sasa Naota sana kurudishwa kurudi shule, kama leo nimeota nachapwa parade

    Hizo ndoto ni ishara kuna mipango yako umeipanga vibaya...tena ni mipango ya msingi....mm zilinisumbua sana ila nilivyojua siri hiyo nikawa najua jinsi ya kukabiliana nazo....yan nikipanga mambo yangu alafu nikianza kuota hizo ndoto nabadilisha mpango bhas nazenyewe zinakata....
  7. Vumbi la congo

    JamiiForums Tanzania Mambo tofauti tunayokutana nayo Madereva wa malori toka enzi

    Ipemba mpazi ipo bhana mkuu kuna simba sana hilo eneo..ipo njia ya mbeya sio inyonga.....tabora-ipole-kitunda hiyo njia ndio kuna ipemba mpazi...
  8. Vumbi la congo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kama hapa unatakiwa iwe full green Mimi nimefungua ila Bado sijaanza kutumia mpaka nisajili halotel
  9. Vumbi la congo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii kampuni nasikia ukitaka usipate shida ndogo ndogo jaza taarifa zako zote na sehemu Ile ya security ijaze iwe 6/6 alafu usitumie tigo...tumia voda au halotel hapo hausumbui ndio nasikia wazoefu wanasema hivyo
  10. Vumbi la congo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu napasuka sana kwenye kubet nyie mnafanyaje wazee au ndio bet is not for everyone kila nikimfukuzia kanji nakutana na za uso..kadri navyopata hasira ndio nazadikuumia..em wataalam nipeni mbinu
  11. Vumbi la congo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwenye sehemu ya kuweka hela zipo njia za mobile payment
  12. Vumbi la congo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimewapigia betwinner wameniambia Kuna shida kwenye mfumo wa malipo huko e wallet. Kwahiyo nisubiri kwa muda wa saa 24 nadhani shida hiyo hiyo ndio ipo na 1xbet... Ameniambia Airtel inasapoti kupitia E wallet ila mitandao mingine inajitegemea aah nikaona miyeyusho tu nimekata simu..Yani mm...
  13. Vumbi la congo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mnaotumi 1xbet mnawekaje hela kupitia simu nimefanya muamala kupitia Airtel tangu asubuhi mapa muda huu hela haisomi..au nimekosea namna ya kuweka hela..nimedownload app ingine betwinner pia limetokea tayizo hilo hilo.shida ni nini hapo au Airtel ndio shida.. au huo mfumo unasumbua
  14. Vumbi la congo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hapana kwakweli hawa ndio wanasifiwa kuwa kampuni ya viwango...alafu wanamakato makubwa kuweka hela kupitia Airtel money...nabaki tu spoortybet
  15. Vumbi la congo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Msaada nimeweka hela 1xbet mpaka saiz haijasoma ..nimeweka kupitia Airtel money
Back
Top Bottom