Recent content by voyage

  1. V

    JamiiForums Tanzania Interview uhamiaji

    JAMAN WANA JEF, MWENYE TAARIFA NI LINI WATU WATAITWA KUFANYA USAILI UHAMIAJI KWENYE VYEO VYA CONSTEBO NA KOPLO ANIJULISHE, KWA WALE WALIOTUMA MAOMBI MWEZI WA PILI.SHUKRAN!!!!!!!!!!! :A S-heart-2:
  2. V

    JamiiForums Tanzania Interview uhamiaji

    Ndugu zangu nauliza mwenye tetesi za usaili uhamiaji kazi za koplo na kontebo anijulishe
  3. V

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye usaili uhamiaji-koplo & kontebo

    Whats up ndugu zangu,naomba atakae pata taarifa za kuitwa kwenye usaili uhamiaji mapema anitaarifu, thanks brothers & sisters
  4. V

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji koplo na kontebo.

    subri kk mwenyewe bado nasubria hiyo shortlist
  5. V

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi african barrick gold, camfed, na ms-tcdf,soma gazeti la mwananchi la februari 15,2013

    AFRICAN BARRICK GOLD -GENERAL MANAGER-(1POST), Camfed -Monitering and Evaluation Manager.MS-TCDC-COOKS AND DRIVER Vacant positions.:crazy::happy: SOURCE; Mwananchi Ijumaa,Februari 15,2013
  6. V

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za waalimu 2013

    walimu wapya kapigeni mzigo licha ya dau dogo, mkomae na mkumbuke kujiendeleza ,hasa wale wa certificate na diploma kiwango cha kimataifa bado hamjafikia
  7. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 22 wafukuzwa Nyegezi Seminary kwa tuhuma za ushoga

    Bora seminary zibadilishwe mfumo wake ziwe mchanganyiko,coz vijana wa sku hizi nitofauti na wale wa zamani,la sivyo vijana waliojiunga na seminary bila kutegemea kuwa wangejikuta wanaingia ktk hali hiyo watapoteza mwelekeo wa maisha yao.hivvo hata kama kanisa halitaweza kubadili mfumo huo,bas...
  8. V

    JamiiForums Tanzania Vidahizo vya lugha ya kiswahili

    Eleza maana ya vidahizo vifuatavyo; (a) NDAKI (b) DAFINA (c) UKRAHAMA.
Back
Top Bottom