Recent content by VonLee

  1. VonLee

    JamiiForums Natafuta kazi: Nimesoma Bachelor of Art Education, History & Kiswahili

    Wakati nasubiri kuku wakue nitakuwa nakula nini?, pango ya chumba nalipa vip?,,nashukuru kwa ushauri wako lakin sio rahisi.
  2. VonLee

    JamiiForums Natafuta kazi: Nimesoma Bachelor of Art Education, History & Kiswahili

    Hamna anayejuwa kesho yake
  3. VonLee

    JamiiForums Nimepata kazi mshahara baada ya makato yote 250k

    Ndugu yangu 250,000Tsh/= unajiuliza wakati sisi tupo mtaani tunafuta ajira bila mafanikio!,,,Chukuwa kibunda ukishindwa nipe connection angalau nipate mkate
  4. VonLee

    JamiiForums Natamani kujifunza ufundi wa aina yoyote kama finishing n.k

    Habarini na poleni na majukumu ya kujenga taifa. Ndugu zangu,natamani kujifunza ufundi wa aina yoyote kama finishing n.k, jamani ndugu zangu mafundi natafuta fundi yoyote wa kunisaidia ujuzi. Nipo tayari jamani nipo mbezi beach. Mwenye kuguswa na hii namba yangu ni 0684645026. Ahsanteni
  5. VonLee

    JamiiForums Natafuta kazi: Nimesoma Bachelor of Art Education, History & Kiswahili

    Hapana,,nitajaribu. Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
  6. VonLee

    JamiiForums Natafuta kazi: Nimesoma Bachelor of Art Education, History & Kiswahili

    Sawa kaka Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
  7. VonLee

    JamiiForums Natafuta kazi: Nimesoma Bachelor of Art Education, History & Kiswahili

    Ahsante kaka kwa ushaur wako Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
  8. VonLee

    JamiiForums Natafuta kazi: Nimesoma Bachelor of Art Education, History & Kiswahili

    Tusahidiane connection jamani please
  9. VonLee

    JamiiForums Natafuta kazi: Nimesoma Bachelor of Art Education, History & Kiswahili

    Nmejaribu hii kaka wakuu weni wanaogopa. Dah! Mungu ndiye anajuwa.
  10. VonLee

    JamiiForums Natafuta kazi: Nimesoma Bachelor of Art Education, History & Kiswahili

    Zingine zinakuwa inspiration tu kaka. Mambo magumu mtaani huku.
  11. VonLee

    JamiiForums Natafuta kazi: Nimesoma Bachelor of Art Education, History & Kiswahili

    Tupambane ndugu yangu na wau wanatuona, hope watatusahidia.
  12. VonLee

    JamiiForums Natafuta kazi: Nimesoma Bachelor of Art Education, History & Kiswahili

    Naomba nikuPM tuyajenge.
  13. VonLee

    JamiiForums Natafuta kazi: Nimesoma Bachelor of Art Education, History & Kiswahili

    Mkuu imefika hatua nimekata tamaa, nimekataliwa mpaka kujitolea.
Back
Top Bottom