WANAHARAKATI wa masuala ya jinsia na mtandao wa wanawake na Katiba wamepongeza Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa kwa kuingiza madai yao kwa asilimia 90 na kusema kuingia huko kumetokana na wao kuvua itikadi za dini na vyama vyao na kuvaa joho la jinsia na uzalendo.
Kadhalika wanaharakati hao...
WANAHARAKATI WAUNGA MKONO RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA
"WANAHARAKATI wa masuala ya jinsia na
mtandao wa wanawake na Katiba
wamepongeza Rasimu ya Katiba
Inayopendekezwa kwa kuingiza madai yao
kwa asilimia 90 na kusema kuingia huko
kumetokana na wao kuvua itikadi za dini
na vyama vyao...
1. Ikiwa Rasimu ya pili iliyoandikwa na TUME
YA WARIOBA ndio maoni ya wananchi na
iliandikwa kwa ustadi mkubwa na wataalamu
wa masuala ya uandishi wa katiba na wenye
uzoefu ilipelekwa bungeni kufanya nini?
2. Ikiwa muundo wa Serikali 3 ni
mapendekezo ya wananchi japo idadi ya
waliotoa...
Sisi ni vijana wasomi wazalendo kutoka
vyuo vikuu mbalimbali vilivyoko Dar es
Salaam, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
(UDSM); Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU); Dar
es salaam University College of Education
(DUCE); USTAWI WA JAMII; Chuo Kikuu
cha Mtakatifu John (St. John); Chuo cha
Usimamizi wa...
Sisi ni vijana wasomi wazalendo kutoka
vyuo vikuu mbalimbali vilivyoko Dar es
Salaam, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
(UDSM); Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU); Dar
es salaam University College of Education
(DUCE); USTAWI WA JAMII; Chuo Kikuu
cha Mtakatifu John (St. John); Chuo cha
Usimamizi wa...
"Viongozi Ukawa Wanakabiliwa & Ombwe La Mtindio Wa Elimu Uraia &Ukosefu Wa Uzalendo.Wanataka Matone Ya Damu Kama Kafara Kuingia Ikulu.Ni Vema Wajue,Gunia Tupu Halisimami Wima.Naasa Chadema Wawe Sikio Lenye Kupenda Kusikia Wasicho Penda Kusikia.Nimeamua Kujiondoa Mwenyewe,Naomba Waandae Wagombea...
"Viongozi Ukawa Wanakabiliwa & Ombwe La Mtindio Wa Elimu Uraia &Ukosefu Wa Uzalendo.Wanataka Matone Ya Damu Kama Kafara Kuingia Ikulu.Ni Vema Wajue,Gunia Tupu Halisimami Wima.Naasa Chadema Wawe Sikio Lenye Kupenda Kusikia Wasicho Penda Kusikia.
Nimeamua Kujiondoa Mwenyewe,Naomba Waandae...
TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA
Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini, tuliopendekezwa na Taasisi zetu na baadaye kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.