Recent content by vogman

  1. V

    JamiiForums Tanzania Kadanganya ni mjamzito, kumbe anaweka matambara tumbo liwe kubwa

    Mkuu we yako macho tu,,ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe...usijeumbuka bure.
  2. V

    JamiiForums Tanzania Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

    Inaukweli ndani yake,,Ila si wote walioko kwenye ndoa hupata matatizo hatimaye kifo cha mapema,wengine hufulaia maisha ya ndoa,.na Mungu huwabariki maisha marefu...so ndoa ndani ya bwana yesu inabaraka.
  3. V

    JamiiForums Tanzania Muonekano mpya wa Chidi Benz baada ya kutumia unga

    Aisee kumbe unga ni hatari ivo..pole sana Chidi ilikuwa ni akili yako au..
Back
Top Bottom