Recent content by Vmax

  1. Vmax

    Unahitaji Biti za Gospel? Njoo hapa

    ningependelea unipe utaratibu in private message
  2. Vmax

    Natafuta watu walio na ujuzi wa kudarizi kwa maandalizi ya Mradi

    Ndio ila ni Mradi (kiwanda) ndo lengo kuu
  3. Vmax

    Natafuta watu walio na ujuzi wa kudarizi kwa maandalizi ya Mradi

    Hamjambo Ndugu zangu.kwanza namshukuru Mungu kwakunipa Kibali hiki chakuwapa nafasi walio na uitaji wa ajira. Natafuta watu walio na ujuzi wa kudarizi kwa maandalizi ya Mardi. Kwa MAELEZO zaidi niandikie
  4. Vmax

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Nakusubiri sana tu na faida unayo ongelea ni zaidi na ile unayo itaji
  5. Vmax

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Naitwa Vmax nipo Marekani kwa sasa kwenye harakati za Maisha. Shuka za kudarizi nimpango mzima soko najua lilipo la uakika . Nipo kwenye harakati ya kutafuta watu wakufanya nao kazi nia yangu nikukenga kiwanda kazi usiku na mchana ikiwa upo tayari tuwasiliane nikupe details kwa urefu ili ufanye...
Back
Top Bottom