lara 1 duuuh hii kali kinyama... Umetisha.
K kweli wa mjini maana hizo mishe zinahitaji confidence ya kufa pimbi kama 900 hv.
Duh na issue ya sindano uswazi ndo nmeisikia leo kwako kumbe watu hatari-hatari.
Dreson3 aye captain... Huyo jamaa kweli anahitaji darasa abt IT. Ooh mayb coz haoni umuhimu wake kama profession basi labda kesho aende maktaba ya taifa akatafute maana ya IT..
Then afanye kushare hiyo knowledge alopata maktaba kwa kumuandikia kila mmoja kwny forum barua ya mkono na kutuma...
zech to answer your comment.. I did not download any code or scripts..
This wasba project to start from scratch creating a windows ERP system. And in all the work that i do if i may say so i always prefer starting from scratch if not for any other reason then its to feed my ego knowing i did...
Najua nlikosea kutoongea nae bei mapema. Lakini kama nlivosema kufahamiana kulichangia na mm nikaona nisiliongelee swala la pesa mapema sana.
Kwa sababu kwa mtu anaejitambua akikupa kazi ambayo utatumia energy yako, skills, time na other resources zako huwezi ukawa unafikiri ni charity work.
Kudesign unaweza tumia tools zozote ambazo upo comfortable nazo.. Kwa urahisi wa kuprint huwa kuna software fulani zinatumia database of some sort.
Kwa hiyo unadesign Id card yako then unaingiza data kwny hiyo database including photos kama zinahitajika..
So design moja lakini unaprint as...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.