Recent content by Vivavox

  1. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sahihi kulazimisha kumjua babako?

    Mimi nafikiri kumfahamisha mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa baba yake ni nani wakati baba huyo hakutaka mtoto bali starehe - ni kumtesa mtoto.Fikiria mtoto anayezaliwa na mama hohehahe wakati baba ni kigogo fisadi.Fisadi huyo hataki kujihusisha na mama wa mtoto kwa vile wako dunia mbili...
  2. V

    JamiiForums Tanzania Kesi ya IGP Mahita na tuhuma za kuzaa na mtumishi wake wa ndani

    Huyu ni mstaafu..hana pesa hata ya kulipia kipimo cha DNA -
  3. V

    JamiiForums Tanzania Kesi ya IGP Mahita na tuhuma za kuzaa na mtumishi wake wa ndani

    Naomba nijuzwe vizuri.... wazazi gani wanaitwa kuonyesha malezi bora ya watoto..kesi ya Mahita kutembea na hausgeil ambaye hakuwa mtoto bali mtu mzima...hapo wazazi na malezi vinahusuje?
  4. V

    JamiiForums Tanzania Idara ya uhamiaji Tanzania!

    Ni tatizo..... kodi zinapanda maradufu... siye kipato cha chini tunaumia.
Back
Top Bottom