Uzinzi ni dhambi kama zilivyo dhambi nyingine. Wakosefu wote wanahitaji toba. Uzuri kwetu sisi Wa kristo, msamaha WA dhambi upo Kwa Kila mtu, hakuna gharama maana mwamba Jesus alishalipa gharama.
Hawako matured hao. Mwanamke mkomavu aliyefundwa na mwenye kujitambua, kamwe hawezi sema madhaifu ya mumewe Kwa mchepuko. Atachepuka na Siri zake namumewe hatozitoa.
Kabisaaa!! Unaanzaje kuwa wet na mwanaume asiye na pesa jamani? Ifike mahali wanawake tuonewe Huruma jamani hatukuzaliwa kutafuta hela sie!! Tuliambiwa TUTAZAA KWA UCHUNGU jamani wacheni kazi yetu iwe kuzaa, nanyi fanyeni jukumu lenu mlilopewa na Muumba wenu!! Kama wewe umeoa na inataka mkeo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.