Yani ninacho oongea kipo nje ya mada unataka kusema..? nimesoma paragraph ya kwanza tu na kusema kwamba naishia hapa katika mjadala huu, naona hutaki kunielewa na una majibu yako unataka nikupe.
Jumapili njema kaka.
Haiwezekani kukawepo na mfano wa nchi inayofanya kama sisi, hii ni kuonesha ni jinsi hani kila nchi inafanya mambo yake
Mfano Brazil hawakuweka mazuio kama zingine za Ulaya au Afrika
Narudia kuitaja Sweeden mara ya 3 haikuweka watu wake ndani wao waliamua kutumia Herd immunity kupambana na...
Katika hoja zako ulizotoa mimi nimezielewa kuwa umetoa maoni yako kwa uelewa wako na sio kwamba ndio ilivyo bali ni kwa wewe ulivyoona ndio maana hata wewe hujapinga hoja zangu kwani ndivyo ilivyo na kwa uelewa wangu na uhalisia na niangalia hili kwa uhalisia wa mazingira yangu na kuvaa viatu...
Na sababu za sisi kutaka kupima watu wetu tunazo,
1. Hatuna uhakika na vipimo vyao kwani vimeshaonesha kubambikia watu wetu majibu ya uongo ili kutuchafua.
2. Makubaliano ambayo wao waliyaomba ilikua ni kila mtu apime watu wake, kwann sasa wanakataa sasa hivi wakati kwao wao ndio wana...
Sayansi imeshindwa kuthibitisha nadharia zake, imebaki kuzielezea nadharia zake kwa nadharia zingine kutumia vifaa wanavobuni wanasansi.
Wanaposema unahitaji kusafiri kwa kasi ya mwanga hiyo uliyotaja ndio uvuke katika Universe yetu, je wanafahamu ulimwengu wetu una ukubwa wa kiasi gani...
Kinacho wasumbua jirani zetu ni mikopo waliyochukua kwa ajili ya mapambano ya Covid 19. Masharti ya mikopo hio ni magumu sana ndio maana wanakuwa wakali kwa Tz kwasababu tu ya wivu na si kitu kingine.
Kupitia hoja zako.
1. Tanzania inatambua ni janga la kimataifa ndio maana kupitia serikali imetangaza hatua mbali mbali za kukabiliana nalo kama zilivyofanya nchi zingine na kwa njia tofauti katika kuwalinda wananchi wake km baadhi ya nchi zilivyofanya. Lakni pia TANZANIA INATAMBUA NDANI YA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.