Recent content by vitalis munishi

  1. V

    JamiiForums Tanzania suluhisho la migomo ya wafanyakazi na madereva ipo hapa katika katiba pendekezwa hebu cheki hapa

    kiukweli sijaona ufafanuzi wa kutosha, hivi ni mpaka mahakama zifafanue haki za wafanyakazi!? Au sheria za kimataifa!? Nasema hivi.. Sio vifungu vya katiba wala wachambuzi, ( kuhusu wafanyakazi) naona bado kuna upungufu. Kwangu hapo katiba 'imekosa' macho..... Nb: Sijaruhusu matusi.
  2. V

    JamiiForums Tanzania Album ya nyimbo za Gwajima yatoka

    natamani mada hii iendelee ili watu wajifunze.
Back
Top Bottom