Recent content by visent

  1. V

    Msaada kuhusu boom

    duuuuu hiki chuo basi watakuwa matajir sana kwa maana wanakata kila hela. hatujawi kuwekewa hela kama jinsi tulivo sain wanasema et kuna indirect cost inatakiwa ilipwe
  2. V

    Msaada kuhusu boom

    Eti wanafunzi wa vyuo naomba kuuliza, huwa mnakatwa shilingi ngapi wakati mnawekewa hela zenu bank kwa wale mlio na mikopo. Je hela uliyosaini ndio hiyo unayowekewa bank au inakua pungufu, na kama ni pungufu nyingine huenda wapi?
  3. V

    Mwenye kujua hili anisaidie

    Yaaaa mi ni mwanafunzi was chuo labda haukuelewa ni hivi unakuta umesaini hela sh 510000 lakin bank inawekwa 506300 sasa hii hela nyingine huwa inakatwa na watu gan chuo au bodi
  4. V

    Mwenye kujua hili anisaidie

    Naomba kuuliza kwa wanafunzi wa vyuo vikuu wenye mkopo na hata wasio na mkopo. Hapa chuoni kwetu kuna tatizo moja,katika hela tunayopewa kutoka bodi ya mikopo. Kila tukishasaini hela inayoingia bank si ile niliyo saini.Je haya makato yanayokatwa hukatwa na bodi ya mikopo, bank au chuo? Jamani...
  5. V

    oyooooo wale wa TEKU kitu kimetema mda si mrefu

    majina yapo vijana karibuni teku wadogo zangu kuripot ni tarehe 2
  6. V

    Loan application for higher education 2014/2015 start on 16 april 2014

    daa hii ndo TANZANIA na lin watu wataingia chuoni?
  7. V

    How to update mkopo

    wadau kuna tetesi eti ni lazima kila mwaka ua UPDATE MKOPO kwa wale waliopata ? kama ni ndio how can I do it. mi ni first year and sijui jinsi ya kufanya ivo so kwa anaejua tusaidiane
  8. V

    Teku kilio

    Wanafunzi wa TEKU walia NJAA baada ya BUMU kuchelewa waiomba loan board wafanye faster kama niaje wadau wa JF tuwaangalie ndugu zetu:sad::mad:
  9. V

    Teku first year full ng"aeng"ae

    first year teku wapagawa baada ya account zao kucheka ila kali kuliko yote jumamosi ndo mpango mzima wanawakaribisha wote katika WELCOME NJUKA WA CHUO 02/11/2013 :tinfoil3::amen:
  10. V

    Wana teku tujuane basi

    Acha matusi kijana
  11. V

    Wana teku tujuane basi

    pole kijana kama hujui teku ni nin?tena pole sana
  12. V

    Wana teku tujuane basi

    mule mule (bedmaths)
  13. V

    Wana teku tujuane basi

    hongera kwa hilo naamin zamu yangu inakuja
  14. V

    Jamani wana teofilo kisanji university

    SOUTH AFRIKA maeneo ya SOWETO you are welcome
  15. V

    Jamani wana teofilo kisanji university

    wew kunatofaut kat ya primary na university kijana vp
Back
Top Bottom