TAARIFA KWENU MLIOPO CHALINZE:
kwanza kabisa nitoe shukrani zangu za dhati nyingi sana kwa wana kalenga najua wengi walitukubari lakini vitisho na ubabe wa ccm umefanya wananchi kuogopa sana adi wale waliokuwa wanaumwa hospital kulazimishwa kutoka na machera zao kwenda kupiga kura kwa kuoneshwa...
killichofanyika usiku huu:
-Mabalozi wa ccm wamepita kuandikisha watu ambao awana shahada lengo kuna shaada zaidi ya 5000 ambazo ni feki zimetengenezwa CHADEMA tuko makini katika uchaguzi huu kuliko mnavyo zania tumejipanga kuwakamata watu awa kila kituo kina mawakala zaidi ya kumi tukibaini...
Cheki uthibitisho wake
tunaanza na hizi hapa wenye mitandao cheki hizi link kwa wananchi tumewaprintia tutawapa kwenye mikutano:
Godfrey Mgimwa - Wikipedia, the free encyclopedia
Godfrey W Mgimwa - London SW16 - full address - 192.com
source: chadema kalenga fb page
Baada yakuona ali ni mbaya sana kwa mgombea wa CCM jimbo la kalenga wameamua kuleta (photocopy) ya (passport) ya mgombea huyo.
CHADEMA inaendelea kufuatilia sakata mpaka sasa wanafanya mawasiliano wizara ya mambo ya nje ya uingeleza wapewe ushaidi wa kimaandishi kuthibitisha uraia wao halali...
Uzinduzi wa kampeni kata ya Partimbo wafana wananchi walia wasema wanajuta kuichagua CCM.
Mh. Grace Kiwelu aunguruma pamoja na makamanda kutoka Arusha wakiongozwa na James Milya.
Stay tuned tutatupia picha soon.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.