Recent content by Visa nevermore

  1. Visa nevermore

    Ni msomi yupi mwenye sifa hizi na bado yuko mtaani hana ajira?

    Wakati wa mungu ni wakati sahihi wapo aambao hawakusoma na wanakula maisha, wapo wanaokula Bata na walikuwa vizur darasani all in all Mungu ndo anaamua uwe nani
  2. Visa nevermore

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Mm jaman nimeomba lakini nilifanya udanganyifu kozi niliyoisomea walihitaji diploma na mm Nina bachelor ilikuwa ngumu kuombea cheti Cha form six kwakuwa nimehitimu miaka mingi kwahiyo hapa nimejikatia tamaa muda tu hata hayo majina ya interview sidhani kama nitatoboa
  3. Visa nevermore

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Tatizo la ajira lifike kikomo

    Ahsante lakini naliona lipo nusu lakini niliandika ndefu sijui hata imekuaje na si mtaalamu wa haya mambo
  4. Visa nevermore

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Tatizo la ajira lifike kikomo

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri. Kama lilivyo tamu kulitamka jina la nchi yangu Tanzania ndivyo ninavyotamani kuona mabadiliko ya kijamii na kichumi kwa ujumla viwe na ladha hiyo ya utamu. Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wasomi wasio na ajira tangu mwaka 2015 hii Kutokana na sera na mabadiliko...
Back
Top Bottom