hata kama wangeweka mgombea, unazi wa wabunge ziro wa ccm usingeruhusu ashinde. tujitahidi tu kuwabana kwenye kujadili rasimu. M4C mwanzo mwisho hadi kieleweke.
unamaanisha ndot gan? au watakak na sisi tuwe majambaz na kuwaibia watanzania kama nyie? mkumbuke tu kuwa hakuna marefu yasiyo na ncha. mwisho wenu utakuja tu. hauko mbali.
hawa jamaa na wizi wao nadhani bado wataendelea kuwepo kidgo. mpaka hapo Watz tutakapojitambua na kusimama imara kudai haki zetu bila unafki wala woga, CCM itaendelea kutupeleka shimoni.
nadhan walikuwa hawajajipanga vizuri tu. lakin kuna kila dalili ya mchezo mchafu. mambo kama haya katika kipindi hiki cha teknolojia ya hali ya juu kiac iki hata hayaingii akilini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.