Recent content by violetrose

  1. violetrose

    Msaada kwa mwenye uzoefu wa biashara ya mshindi

    Wandugu nataka kufanya biashara ya mahindi, mwenyewe uzoefu naomba anijuze wap naweza pata kwa wingi na bei mimi nipo morogoro.
  2. violetrose

    English learning thread

  3. violetrose

    Mashine ya kilimo cha umwagiliaji

    Nimeipenda hii rfk Unamaanisha cha drill au
  4. violetrose

    Mashine ya kilimo cha umwagiliaji

    Asante kwa wazo zur
  5. violetrose

    Mashine ya kilimo cha umwagiliaji

    Yani engine na inamwaga maji Lita ngapi kwa dkika
  6. violetrose

    Mashine ya kilimo cha umwagiliaji

    Capacity to pump water per minutes Horse power Pump Inc size Engine type Naomba uniangalizie ivo vitu pls
  7. violetrose

    Mashine ya kilimo cha umwagiliaji

    Ni Aina gani, na ukubwa gani
  8. violetrose

    Mashine ya kilimo cha umwagiliaji

    Kweli kbs cz cc wabongo tumepoteza uaminifu ukiona mtu anauza kitu chake uwe na Shaka nacho
  9. violetrose

    Mashine ya kilimo cha umwagiliaji

    Akuuu sitaki ya mkononi
  10. violetrose

    Mashine ya kilimo cha umwagiliaji

    Asante kwa maelezo, Nataka pump ya katoka kwenye mto kuja shamba
  11. violetrose

    Mashine ya kilimo cha umwagiliaji

    Habari zenu wadau, nataka kununua mashine ya kumwagilia nina shamba la ekari mbili (2). Naomba mnijuze Aina nzur, size, na horse power ngapi na vingine vya muhimu. Asante
  12. violetrose

    Natafuta mtu makini wa kushirikiana na mimi kuwekeza katika kilimo

    Nimeipenda hii nipo morogoro pia namba yangu ni 0688340246 nitafute tupange
Back
Top Bottom