Recent content by Vinicious

  1. Vinicious

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa wahadhiri vyuo vikuu wanukia

    Hii issue ikiwa kweli CCM yatakuwa yanasonya2 Lakini Nina wasiwasi maana CCM hayachelewi kutumia police kama ngao yao kukamata wahadhili
  2. Vinicious

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 BAKWATA, Watanganyika tunajua mnatumika kupandikiza hoja ya Udini. Jueni tu hamtaweza kututoa kwenye reli

    Kwahiyo Mama yako ndo amekuambia hivyo? Kwahiyo unaua halafu unategemea kumtawala nani? Siku zenu zinahesabika
  3. Vinicious

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 BAKWATA, Watanganyika tunajua mnatumika kupandikiza hoja ya Udini. Jueni tu hamtaweza kututoa kwenye reli

    Kwahiyo hii nchi nyie police ndo inawauma? Nenda kajifunze kwanza kusoma na kuandika ndo uje tubishane Kwa hoja
  4. Vinicious

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ya supuu
  5. Vinicious

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii kitu haihitaji hasiraa , otherwise kanjibhai atakupokea kama ulivyokuja😎😎
  6. Vinicious

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwahiyo hii derby tunafanyaje wadau?
  7. Vinicious

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Bomboclaaaaach!! 😎😎😎
  8. Vinicious

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huyu Jamaa Leo hana ujanja,itoshe kusema kapakatwaa 😎😎😎
  9. Vinicious

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Siku ya kazi Sisi wenyewe hatuna kazi Inabidi kanjibhai atupe kazi Ili tusiishi bila kazi Na tunataka kazi 😎😎😎
  10. Vinicious

    JamiiForums Tanzania Full Time | Simba SC 1 - 0 Gor Mahia FC | Simba Day - Septemba 10, 2025; Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam

    Wanasimba team ipo au tuendelee kukata fito na udongo kwaajili ya kujenga team? Mlioangalia mechi tunaomba majibu
  11. Vinicious

    JamiiForums Tanzania Full Time | Simba SC 1 - 0 Gor Mahia FC | Simba Day - Septemba 10, 2025; Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam

    Yule aliyetoa 100M Na huyu anayesema Samia hoyeeee Hakuna utofauti,Hizi team kumbe ziko kwaajili ya maslahi mapana ya CCM 😞😞😞
  12. Vinicious

    JamiiForums Tanzania Full Time | Simba SC 1 - 0 Gor Mahia FC | Simba Day - Septemba 10, 2025; Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam

    Kauli Mbiu ya mwaka huu ni ipi wazee wa msimbazi?
  13. Vinicious

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kanjibhai siyo mtu mzurii hata kidogo
  14. Vinicious

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kumbe issue ni ndogo tu VPN Ila hawa CCM hamna kitu kichwani Hawa Jamaa ni mafaler sana,tuendeleeni kushusha majamvi Wana
  15. Vinicious

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Usiku mwema wakubwa 😎😎😎
Back
Top Bottom