Recent content by vincentmwakisyala

  1. vincentmwakisyala

    MJADALA: Kwanini wanaume hufa mapema kuliko wanawake?

    Baba anapokuwa bado ana nguvu, yuko kazini huwa anakua na nguvu na ushawishi mkubwa sana kwenye familia yake, familia humsikiliza, huzingatia uwepo wake! Tatizo huanza pale baba anapozeeka, nguvu za uzalishaji mali zimekwisha, amestaafu! Na pale watoto wanapokua wamekua watu wazima wameanza...
  2. vincentmwakisyala

    Historia ya wimbo "Usinipite Mwokozi" tenzi namba 10

    Na Vincent Mwakisyala Wimbo huu wa usinipite ni moja kati ya nyimbo za kikristo maarufu sana Duniani. Na wimbo huu unaimbwa Na madhehebu karibu yote. Ni wimbo wa maombi, una ujumbe uliotulia, Na una tafakari itakayokuvuta kwa Mungu moja kwa moja. Nikitafakari wimbo huu namkumbuka yule mgonjwa...
  3. vincentmwakisyala

    Wanaume msiache kusoma hapa

    Kuna Jambo ambalo natamani tukumbushane leo, na Jambo lenyewe linaitwa MWANAMUME. Ikiwa ni mwanaume ama ni mzazi wa mtoto wa kiume si vema kupita bila kusoma huenda ukapata kitu, Karibu. Nianze kwa kusema mwanaume ameumbwa tofauti sana na mwanamke, mwanaume ndiyo asili ya mwanamke na uzao...
Back
Top Bottom