Recent content by Vincent Munde

  1. Vincent Munde

    Sony Experia Z kwa 190000

    mmh mbona beu ndogo hivyo mkuu, ina majanga nini?
  2. Vincent Munde

    GEITA: Serikali yatenga zaidi ya Sh. Bilioni 6 za kuchimba visima Chato!

    umeshinda mkuu, raia mna matusi ya kuudhi sana, i wish i could be.....:D:D:D:D
  3. Vincent Munde

    GEITA: Serikali yatenga zaidi ya Sh. Bilioni 6 za kuchimba visima Chato!

    6 bil.? mbona kidogo sana, sisi kwenye wilaya yetu serikali imetenga 13 bil. kwa ajili ya maji.
  4. Vincent Munde

    Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya Mbowe dhidi ya RC Makonda, RPC Sirro na ZCO Wambura

    kwani ofisi gani ya Mbowe iliwahi kushtakiwa na akatakiwa yeye ndo (lazima) aende mahakamani? nasema hivyo kwa sababu huku ninakokaa Mkurugenzi wa Halmashauri alishtakiwa mahakamani, hakuwahi kwenda mahakamani yeye 'personally' mpaka kesi inakwisha (alituma wawakilishi tu na yeye kuendelea na...
  5. Vincent Munde

    Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya Mbowe dhidi ya RC Makonda, RPC Sirro na ZCO Wambura

    siadhani kama wataenda, kwa kuwa kesi ni dhidi ya Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Upelelezi na Mkuu wa Polisi ambazo ni ofisi na si watu, basi watatuma wawakilishi wa ofisi zao, kwa sababu hata Makonda akihama nchi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam yupo tu, likewise kwa Siro na Wambura.
  6. Vincent Munde

    Manji atakiwa kuripoti Ofisi za Mamlaka ya Uhamiaji. Pasi 126 za kusafiria zakamatwa ofisini kwake

    Diwani wa Kata ya Mbagala Kuu (CCM) Mh. Yusuf M. Manji anashikiliwa kituo cha polisi kati kwa tuhuma za kuhusika na biashara ya dawa zakulevya, wakati huo huo anatuhumiwa kwa kuajiri wafanyakazi wa kigeni wasio na vitambulisho vya kuishi nchini.. Kumbe ni mheshimiwa kabisaa tena wa chama...
  7. Vincent Munde

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Naomba kuuliza.. Hiyo simu inayoitwa Smart bomba ina RAM kiasi gani?
  8. Vincent Munde

    Video ambayo haijahaririwa ya Rais Magufuli na Mkalimani wakati akihutubia mkutano wa AU

    hatujaelewana hapo mkuu, nimeleta ili kumaliza mzozo kuhusu utata wa video iliyoeditiwa baaaasi..
  9. Vincent Munde

    Video ambayo haijahaririwa ya Rais Magufuli na Mkalimani wakati akihutubia mkutano wa AU

    Basi jamani tumalize mzozo na tuendelee na mambo mengine.
Back
Top Bottom