Recent content by vimon

  1. vimon

    Spika Job Ndugai ana matatizo gani? Kwanini anafuatilia ‘petty issues’?

    Songas ipi kisomo kimekuchanganya
  2. vimon

    Kwa hizi albadiri nilizozishuhudia leo hakyanani tujiandaeni kwa Msiba mzito Tanzania

    Kuna yule wa fonti pedi na yule mbabe wa vita aka mume le mburura, sitalia wakiondoka nadondosha sherehe.
  3. vimon

    Waliomshambulia Tundu Lissu kusomewa albadili kesho!

    Huyu tramadol Mwambie wamemwingiza kwenye kisomo. Hatabaki mtu, ameenda kuzindua magari moshi ila mwambie wameshamsomea asubiri majibu. Wamemshtaki Kwa Mungu.
  4. vimon

    Spika Job Ndugai ana matatizo gani? Kwanini anafuatilia ‘petty issues’?

    Ndugai ni mgonjwa,pale alipo hajitambui. Anahitaji matibabu ya haraka. Aliposema kuwa lissu hakufuata utaratibu, yeye uchunguzi tu anaenda India, ni daktari yupi au wapi aliyempa rufaa ya kwenda India. Wamuunganishe kwenye kisomo.
  5. vimon

    Waumini wa dini ya kiafrika kufanya kafara dhidi ya wahalifu wa Lissu

    Naomba update mkuu kama tayari bashite achizike.
  6. vimon

    Jinsi Makonda alivyozishinda vita ambavyo hakuna aliyewahi kushinda

    Makondakta hajashinda Vita yoyote, ila vita pekee aliyoshinda nikumsifia magufuli na kulindwa nakupewa ulinzi. Magufuli akistep down tutajua kama ameshinda vita au lah. Uzi huu uwe kumbukumbu kwa vibaraka wake. "a leave one man to tell a tale"-pirate's of carribean
  7. vimon

    Kura za Magufuli kwa uchaguzi ujao zimeongezeka maradufu

    Tutamnyoosha saa mbili asubuhi, yaani hata uweke fisi na sisonje, fisi inashinda. Rip CCM
  8. vimon

    MwanaKJJ Ijumaa: Kati ya Makabila Yote Hili Litamsumbua Zaidi Magufuli

    Kabila haiwezekani bado lipo??
  9. vimon

    Toyota Vs Nissan

    Tunafafanua Nissan na Toyota, wazalishaji wawili wenye utambuzi wa bidhaa za haraka. Wakati magari yao katika makundi mbalimbali yanaweza kuwa majina ya tofauti, ikiwa bado yanashinda ushindani kuonekana. Soma juu ya kujifunza aina gani ina juisi zaidi wakati ununuzi wa magari mapya! jua...
  10. vimon

    Toyota Rav4 au Suzuki Vitara

    labda tuanzie hapa suzuki escudo usiongelee hapa maana rav4 zote zimeipita kwenye hatua mbali mbali kuna kitu nataka niwaelimishe watu ambao wanaendesha magari 1997-2005 kuna vitu vingi sana mnakosa, magari mapya yanakuja na features nyingi sana na usalama juu. ECO Mode, DAC, lock...
  11. vimon

    Hatimaye Tundu Lissu ameweza kuongea akiwa Hospitalini; '"Mwenyekiti, I survived to tell a tale, Please keep up fighting"

    Get well soon kamanda Amenikumbusha movie Mpya ya pirates of carribean(2017) "Dead men tell no tales" I leave one man to tell a tale.
  12. vimon

    Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

    Huyu jamaa nilishamdharau toka mda mrefu sana, hanaga akili ata kidogo. Anamlamba bashite miguu,mwili mkubwa akili ya sisimizi. Lissu sio level yako, haya nikuulize mbona bashite hajatoa pole kwa lissu kwa mfano??
Back
Top Bottom