Recent content by Villanova tito

 1. V

  Natafuta kazi yoyote niko Dar es Salaam

  HELLO, I am Richy Patrick, Aged 26. Residency Dar es Salaam Aim am looking for job in any reputable company Am experienced in the following fields: Office Administrative Business Management Sales Officer Warehouse Manager Storekeeper Personal Secretary Project Supervisor Fleet Manager I...
 2. V

  Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

  Hongera sana kamati ya mazishi ya hayati JPM ikiongozwa na mheshimiwa Majaliwa kwa design nzuri ya kaburi la kuslide kama geti yaani mmefanya professioalism. Ila mmetunyima haki ya kuona jeneza likishushwa kaburini.
 3. V

  Wakuu hali tete. Naomba msaada wa kazi

  Kwema wanajukwaa mko njema. Samahani mimi ni kijana wa miaka 27 niko Dar es Salaam na familia ya mke na mtoto mmoja. Shida yang nahitaji mwenye kazi au mchongo wa kazi anisadie nipate kuendesha familia yang coz sometimes imefikia hatua ya kula mlo mmoja. Hapo nyuma nishawahi fanya kama...
 4. V

  Msaada wa kibarua nina uzoefu wa kazi za shopkeeper, warehouse, storekeeper building supervisor revenue office

  Kwema wana jukwaa nakuja kwenu nikiwa na matumaini ya kusaidiwa. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28. Nashida na kibarua au kazi yoyote nitafanya ili mradi mkono uende kinywani sina kazi kwa mda mrefu nilikuwa warehouse supervisor kwa kampun moja ya kichina ila tangu corona ianze walifunga...
 5. V

  Msaada wa kazi nipate kipato cha kujikimu na familia yangu nina uzoefu wa kazi za ujenzi

  Shukran mkuu sema kupata kaz kwenye haya mamirad kuna changamoto. Na hawa wachina sio kama wazungu kazi ikiisha na urafiki unaisha
 6. V

  Msaada wa kazi nipate kipato cha kujikimu na familia yangu nina uzoefu wa kazi za ujenzi

  Kwema wana jukwaa la JF Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam tegeta nakuja mbele yenu kuomba kazi yoyoye halali ya kujipatia kipato. Maji yamenifika ukingoni baada ya kukaa muda mrefu bila kazi na na familia ya mke na mtoto mmoja na wote macho yao kwangu kama kichwa cha familia Nina uzoefu na kazi...
 7. V

  Natafuta kazi sekta ya ujenzi nina ujuzi wa ufundi nondo nina uzoefu wa project mbalimbali kama ujenzi wa madaraja na culvert box

  Jina: Villanova Patrick Ujuzi: Steel fixer (fundi nondo) Uzoefu: Miaka 2 Makazi: Dar es Salaam Wanajukwaa natafuta kazi sekta ya ujenzi ujuzi wang ni fundi nondo kwenye project mbalimbali kama ujenzi wa madaraja culvert box maghorofa mitaro ya maji. Mawasiliano 0745000157
 8. V

  Natafuta kazi temporary au permanent

  Kwema wana jukwaa, Nakuja mbele zenu kuomba connection za kazi. Na uzoefu na kazi zifuatazo: Store keeper Inventory management Warehouse officer Steel fixer Transport and logistics Niko Dar es Salaam Nafanya kazi yoyote halali Contact 0694052222
 9. V

  Mbuzi wa masikini hazai na akizaa ni dume

  Mbuzi wa masikini hazai na akizaa ni dume usemi huu umedhijilika leo. Wiki iliyopita nilibahatika kupata kazi kama revenue officer ofisi za halmashauri ya jiji baada ya kupitia mchakato mrefu na kupata shavu hapo. Na leo ilikuwa ndio tarehe ya kurepoti hapo na kupangiwa kazi ya kunisaidia mimi...
 10. V

  Mliotuma CV/Resume Jvacee Stiegler's Gorge mmeshaitwa?

  Ukitaka kujua jina lako liko cohort gani tembelea ofisi zao
 11. V

  Mliotuma CV Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam kazi ya ushuru, mmeshaitwa?

  Imepita wiki sasa baada ya Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam kufunga pazia la kupokea maombi ya kazi ya ukusanyaji ushuru je, kuna mtu alishaitwa au connection ni muhimu pia.
 12. V

  Nafasi zaidi ya 1500 za ufundi na uhandisi kwenye kampuni ya El-sewedy Electric inayojenga Mradi wa Umeme wa Julius Nyerere, Rufiji

  Kuna hr enz za yapi merkez alikuwa anapenda pesa muilize walimfanyaje wasaka tonge saiz anakula msosi wa bure
Top Bottom