Recent content by viking

  1. V

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Deni la Taifa halikui kwa kasi kwasababu ya matumizi mabaya

    na wapigaji nao vipi
  2. V

    JamiiForums Tanzania Makonda: Tumeahirisha ule mkopo wa Tsh Bilioni 20 kwa content creators

    TUNATAKA VITU VYA KU -EXPORT TANZANIA SIO VITU VYA KIPUUZI PUUZI
  3. V

    JamiiForums Tanzania Makonda: Tumeahirisha ule mkopo wa Tsh Bilioni 20 kwa content creators

    KAMA MNGEKUSANYA VIJANA KATIKA KILA MKOA NA KUWAFUNGULIA RANCH ZA NGOME . WAKAWA WANASAFIRISHA NJE TAIFA LINGEKUWA MBALI .MNABUNI MIRADI YA AJABU AJABU
  4. V

    JamiiForums Tanzania Utamaduni wa zawadi unatupeleka wapi

    Watanzania kuna huu utaratibu wa kutoa zawadi kwa watu binafsi sijui unalipeleka Taifa letu sehemu gani. Tumeshuhudia hivi karibuni majenerali wastaafu wakizawadiwa magari, Mama Kanumba kapewa gari na Rais, na wengine kama vile wanamuziki wa zamani wanapewa hela. Je, kila brigedia generali...
  5. V

    JamiiForums Tanzania Wakati tunapinga Mkataba wa DP World wafanyabiashara walikuwa kimya. Gharama za bandari zimeongezeka kwa 500% hadi 700%

    Wale madalali waliopelekwa Dubai vipi sasa hivi.
  6. V

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Uchunguzi matukio 2025 yazuia waandishi wa habari kurusha na kurekodi shuhuda za wahanga

    ONLY IN TANZANIA , nakumbuka Truth and reconcillation ya South Africa iliyoongozwa na Desmond TUTU ilikuwa Live on Television . MNATAKA KUFICHA NINI. Kwanza wajumbe wengine wamehusika na mauaji
  7. V

    JamiiForums Tanzania Samia una wakati mgumu wa uongozi

    Watanzania mkae mkijua Rais Samia anapitia kipindi kigumu sana cha uongozi. Kitendo cha kuwarudisha Dkt. Phillip Mpango na Majaliwa Ikulu kwenye nafasi ya uongozi ni kitendo cha aibu sana. Hawa wawili ni viongozi wa juu sana kitaifa ambao wanastahili kupumzika nyumbani na kula pensheni pensheno
  8. V

    JamiiForums Tanzania TEC ivunjwe imekiuka miiko ya Kikatoliki kwa kushindwa kueneza upendo kwa wote

    BAKWATA NI CHOMBO KISICHO SIMAMIA MASLAHI YA WAISLAMU WOTE
  9. V

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameuthibitishia Ulimwengu kuwa Wanawake wanaweza. Hongera sana Rais Samia

    NI KWELI KABISA ANA Ni kweli kabisa ameweza baada ya Sheikh Hasina wa Bangladesh amefuata yeye
  10. V

    JamiiForums Tanzania Sijajua vigezo vilivyotumika kumteua Mwigulu kuwa Waziri Mkuu, hafai

    DAMU ZA WATANZANIA ZILIZOMWAGIKA OCTOBER 29
  11. V

    JamiiForums Tanzania Huu ni mwisho wa CHADEMA, endapo hazitachukuliwa hatua za haraka basi chama kitasambaratika

    CHADEMA NI SAWA NA HAMASA
  12. V

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nguvu inayotumiwa na TBC kubembeleza amani ingetumika wakati kina mdude wanatekwa tusingefika hapa tulipofika

    Hicho kituo kingetembelewa na kusalimiwa mara ya kwanza sasa hivi tusingekuwan na kelele
  13. V

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mhariri Mkuu Clouds, Joyce Shebe: Mazingira ya Oktoba 29 hayakuwa rafiki kwa wanahabari

    Waandishi wetu makanjanja kama kawaida yao , vipi wale wenzenu wa GAZA
  14. V

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jumuiya ya mabondia: Desemba 9 tutakuwa macho kuilinda nchi yetu dhidi ya maharamia na wapuuzi wachache

    Achana nao mabondia gani wanaokula mlo mmoja
Back
Top Bottom