Recent content by vijora

  1. vijora

    INAUZWA Ramani kali zinauzwa

    250,000
  2. vijora

    INAUZWA Ramani kali zinauzwa

    Simple design (Ramani) 3 bedrooms Kitchen Store Dining Living room toilet Tofali 3300 Kiwanja kuanzia mita 18 kwa 20 Get the plan +255678418272 Whatsapp
  3. vijora

    Msaada kuhusu NIT second selection....

    Alaf hao jamaa(NIT)watatoa lini selection kwa diploma applicatants
  4. vijora

    Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

    Ni sehem ndogo mno ambayo umeshindwa kuitafakari na kupata jibu... Hapo Quran inamuelezea Dhulqarnain ambaye ni mwanadam km mm na ww,na Quran imeelezea jinsi vile Dhulqarnain alivyoona yani ni km imeelezea kile kilichomo ndani ya kichwa cha Dhulqarnain, ni kwamba,yy kwa macho ya kawaida ameona...
  5. vijora

    Kujiunga chuo NIT hawajaanza kupokea maombi?

    Doh hata kwa kozi ya automobile engineering??
  6. vijora

    Kujiunga chuo NIT hawajaanza kupokea maombi?

    Habari za muda huu wana jukwaa!! Nimeangalia website ya chuo cha usafirishaji naona haijaruhusu maombi ya kujiunga na chuo mwak 2018/2019 Ni kweli hawajaruhusu maombi ya kujiunga na chuo kwa upande wa diploma au mm nachanganya madesa..hebu nijuzeni bandugu mana naona muda umepita. Asanteni.
  7. vijora

    Mtu akitaka kuwa artisan anasomea nini?

    Artisan kwa kwa kiswahili ni fundi mchundo..na technician kwa kiswahili ni fundi sanifu(diploma)..artisan ni mtu mwenye elimu ya ufundi kutoka VETA au vyo vyovyote vinavyotambulika na serikali zenye kiwango cha elimu sawa na inayotolewa VETA.
  8. vijora

    Nimetumia metakelfin ya kutibu malaria, nitaweza kutumia dozi ya meloxican na amoxiclav628 kabla ya siku saba?

    Habari yenu wana jukwaa, hivi juzi nilikuwa nahisi maumivu ktk kifua upande wa kushoto lakini si maumivu makali yaani nahisi kero tu na inatokea mara chache tu japo sasaivi nahisi inaweza kutokea mara 3 kwa wiki.. Nilipoenda hospital dr.akaniandikia dawa amoxiclav628 na meloxicam, akasema baada...
  9. vijora

    Transporter, Dar - Malawi kupeleka mbolea

    Ntafute 0678361222
  10. vijora

    Madera kutoka Mombasa

  11. vijora

    Madera kutoka Mombasa

    Mm nna akaunt jf na mke wang ana akaunt..mm nlikuwa tanga kwa muda nikamtumia mzigo mke wang dar ambaye yy pia anatangaza humu jf na huwa tunaweka namba ya mke wang na ya kwangu
  12. vijora

    Madera kutoka Mombasa

    Cha msingi ni kuwa huna nia ya kununua full stop..ungekuwa na haja ya bidhaa wala usingejali kuhusu tangazo au njia iliyotumika kutangaza
  13. vijora

    Madera kutoka Mombasa

    Karibu
  14. vijora

    Madera kutoka Mombasa

    Duh me huwa nanunua kwa huyo jamaa aloleta uzi hapa au mm ctakiwi kutangaza humu?
Back
Top Bottom