Bora tu umenisaidia maana mm sijui lengo lake kwenye tangazo langu,kutokana na kauli zake,angenielekeza kiustaarabu mbona ningeshukuru sana kuliko malumbano hivi
Yaani ushaur wako ni mzuri sana ila maneno yako ulio andika mwanzo uliyaandika kama mtu una ugonvi nae that's y nikakushaur vile huwez kumwambia mtu kama upo choooni malizia kwana hizo sio kauli,kuna kauli za kumshaur mtu vizur ukaonekana mstaarabu ndugu yangu hats kama kitu unakijua
Kama una swali kuhusu post ya mtu ni bora ukauliza,au kama huna cha kureply ni bora ukanyamaza kuliko kujibu unavyojisikia ww nidham nikitu cha msing sana in short zijapendezewa na comment yako,just ushaur tu
Kroiler ni aina ya Kuku chotara alie tokea India ambae ni mchanganyiko Wa Kuku aina ya Sasso(jogoo) mwenye sifa yakuwa na umbo kubwa na mwenye uzito sana,alie pandishwa kwa Kuku aina ya Rhode island(tetea) mwenye sifa ya utagaji sana Wa mayai, Hivyo Kuroiler ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.