Yaani wale pita kama umeweka pamba masikioni ...wakikusemesha we busy kuangalia kile unachotafuta..wanakata tamaa wenyewe....usiwe entertain wala kuwajibu jibu..wala usiwaangalie usoni..maana hao madalali kazi yao ni kupandisha vitu bei kitu cha elfu 10 utauziwa 30
Wanawake wengi wanaotembea na waume za watu wengi wanapenda uhuru..wanajua usiku utakuwa kwa mkeo na yeye atatoka Kwenda viwanja au kwa wanaume wengine..wewe unabakia sponsor
Wazo Zuri na litaleta hamasa., km 1 ni ndogo at least 5 either mtu akimbie au atembee..watu wengi humu wanapenda privacy ni bora mtu akatuma details kutoka kwenye saa au app na sio ramani..
Kwa mahitaji ya vifaa vyote vya mazoezi kuanzia vipochi vya kubeba simu, nguo za kukimbilia, saa, etc na...
Mtandao ule ni tishio kwa ustawi wa jamii..umejaa matusi na kuhamasisha ngono sana.. vijana wadogo wanaharibika sana...kuna Siku nilimkuta binti mmoja mdogo nina mfahamu kwa jinsi alivyoharibika na historia yake nyuma unaweza toa machozi kama mzazi au ndugu
Kanuni ya kiafya kula mara mbili ni nzuri yaani asubuhi na jioni tu..hata kuna wakati Mungu alimlisha Elia milo miwili tu
1 wafalme 17 :6
Kunguru wakawa wanamletea mkate na nyama, asubuhi na jioni; akapata na maji ya kunywa katika kijito hicho.
Ni siku chache tu zimepita toka Stanley mug ilipotingisha America na Ulaya kwa maelfu ya watu kununua chupa hiyo kutokana video iliyotrend mtandaoni ya gari kupata ajali ya moto na hiyo stanley mug ilivyokuwa kwenye gari haikuweza kuungua na wala icing zilizokuwa kwenye hiyo chupa hazikuyeyuka...
Ni muhimu kuwa na machine hii ya kupima pressure kwako na kwa familia yako..unaweza ukawachukulia hata wazazi wako itawasaidia sana.
Sifa zake: inakupa vipimo vya uhakika, Rahisi kutumia na ivo very simple unaweza ukatumia betri ndogo au USB cable.
Bei ni 50,000 tu
Call au whatsApp 0746799777
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.