Wadau habari, naomba tuangazie macho kwenye hii functionality inayopatika kwenye simu za android.
Kadri matoleo mapya Adroid yanavyokuja ndivyo usalama wake pia huumalishwa kwa kuwalinda walaji japo bado kunatakiwa kaangaziwa macho.
Leo naomba kwa anayejua aniambie ni nini hasa mapungufu...
Natamani sana kuangalia movie za Philipino zilizokuwa zime/narushwa na Star TV nikiwa mapumziko. Sasa naomba free site na namna ya kuzi download ili nizopate.
Nawaombeni sana mnisaidie namna ya kuzipata on line. Plzzzzzzzz and plzzzz!
Natamani sana kuangalia movie za philipino zilizokuwa zime/narushwa na star tv nikiwa mapumziko. Sasa naomba free site na namna ya kuzi download ili nizopate. Nawaombeni sana mnisaidie namna ya kuzipata on line. Plzzzzzzzz and plzzzz!!
nataka kusoma windows server 2012. naomba kitabu kizur cha kusoma pamoja na practical zake.
Pia nauliza kuna simulation yeyote ya kutumia kama sehemu ya practical? kama ipo naomba nijue namna ya kupata. Nasoma network engineering
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.