Mwambie ni vema akafanya shughuri ya kumwingizia kipato, kwani Kuna siku utakuwa Hauna pesa ya kumsaidia,kwani siku hazifanani.Atafute mtaji nusu na we mwongezee nusu na uhakikishe anaanza kama ni biashara.Kisha mnaachana hapo ili asipate sababu ya kukulaumu! Ahsante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.